Usajili mpya ndani ya wekundu wa msimbazi jioni hii

Usajili mpya ndani ya wekundu wa msimbazi jioni hii

Rostema

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
2,926
Reaction score
9,470
Scout wa Simba, benchi letu la ufundi, makocha wa Zambia na Congo wote wamekubaliana kwamba kama Simba inataka kupigania taji la Ubingwa wa Afrika ni lazima iwe na mshambuliaji mwenye uwezo kama Chris Mugalu. Karibu Chris ‘The Animal‘ #NguvuMoja.

IMG_20200816_170459.jpg
IMG_20200816_170503.jpg
 
huyu ana utofauti gan na kina Boko na Kagere!
Nilijua labda simba inatafuta mchezaji mwenye criteria tofauti na waliopo!
Kwani na wewe ni miongoni mwa uto?
 
Ngoja tukutane na as vita au raja Casablanca ndo tutajua makali yake sio tukutane na ruvu shooting au mbeya city, ndo mnatuambiaa mnaona makali yake.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mipango ya [emoji881][emoji881][emoji881] ni kimataifa mkuu
 
Criteria zipi?
Ushawahi muona akicheza?
Wabongo ujuaji mwingi
Huwa nategemea mtu akiwa JF kidogo angeweza kutumia akili ila bado tabu ipo palepale nakosa tofauti na fb. Mchezaji hata hajawahi kumuona popote,kaangalia clips youtube ila amekuja na hitimisho. Ujinga tu
 
nlikuwa Zambia, na nlikuwa nakaa jiran na uwanja wa Dynamo, hawa wachezaji nawajua vizuri, sijakurupuka kishabiki!
Ko striker mbovu anaweza mfungaji bora? Goli 21.

Msimu wa pili Kufikisha goli 14.

Na msimu watatu akiwa majeruhi akifikisha goli Tisa.

Je, huyu ni striker mbaya?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom