Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamtegemea mume wao gabachori hawa mikiaMuna hela, au ndiyo kumtegemea mume wenu gabachori?
Vip basha wenu yule Gbchori Manji, aliwatumia nyinyi Vyurra kama Toilet paper sasa kawaweka kwa Dustbin, miaka mitano itaisha bila kuuuona Ubingwa *****. RIP mzeee Akilimali
Mchezaji gani huyoMedia za Ghana zimeripoti mazungumzo yanaendelea baina ya simba na Asante Kotoko ,Simba inamchukua mchezaji mmoja kutoka Asante Kotoko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, ngoja tuone,,Watatu hapana mkuu, useless player wapo wengi sana pale Simba,ukisema watatu hebu piga hesabu za kawaida tu kwa beki za kati Wawa, tairone,nyoni, Kennedy,mlipili hao wote hakuna wa afadhali labda nitamtetea mlipili hapati nafasi,haya njoo kwa beki wa kulia kapombe hatabiliki muda wote anaweza majeruhi nani mbadala wake shamte?, huwezi kumpanga shamte mbele ya mawinga wasumbufu na wazuri atakuwa uchochoro muda wote,hadi hapo watatu wameishia kwa mabeki tu,ukija kwa kiungo mkabaji mkude sio yule tunayemjua ubora na spidi vimepungua, ukija kwa striker ukimtoa Kagere ktk ufungaji magoli mengi ya Simba yamefungwa na viungo hatuna striker pale.
Anaweza akawa yule striker wao ana Rasta anaitwa songne kama sijakosea amekataa kuongeza mkataba huko na kuna wakati aliwahi kutakiwa na zesco na Al hilal ya Sudan,pia amewahi kuja hapa kucheza na Simba ktk Simba day ya mwaka juzi,tulipocheza na Asante kotoko.Media za Ghana zimeripoti mazungumzo yanaendelea baina ya simba na Asante Kotoko ,Simba inamchukua mchezaji mmoja kutoka Asante Kotoko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa kichuya hata sielewi na mimiDah, ngoja tuone,,
Benchi la ufundi hata siliamini,, vile kutuletea KICHUYA[emoji23],
Sijui huwa wanawaza nn ?
Ivi kweli KICHUYA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi hamna hela ya kununua top 3 goal score Wa timu kama pirates. Tuendelee kuulizia ulizia rejects ambao kwenye ligi yetu wataonekana boraHuyo shonga ni majerui? Mbona ktk 3 za ufunguja hayupo pale Orlando?
[emoji116]
View attachment 1398396
Sent using Jamii Forums mobile app
Isijekuwa tunapigwa tena[emoji16][emoji23]
Shida ipo ktk kumwaga pesa[emoji57] na huduma stahiki,Wachezaji 5 wawili lazima wawe wa njee.
Hapa sijaelewa wanatakiwa wachezaji wazuri tu au ni lazima watoke njee? Je, kama haja yake inaweza timilizwa na waliopo hapa hapa kuna nini?
Anaweza akawa yule striker wao ana Rasta anaitwa songne kama sijakosea amekataa kuongeza mkataba huko na kuna wakati aliwahi kutakiwa na zesco na Al hilal ya Sudan,pia amewahi kuja hapa kucheza na Simba ktk Simba day ya mwaka juzi,tulipocheza na Asante kotoko.
Wanacheza hawa!!Nyinyi mnaweza kuwapata wachezaji wanaowataka Yanga?!
Mbona hasira mkuu,,Ninyi hamna hela ya kununua top 3 goal score Wa timu kama pirates. Tuendelee kuulizia ulizia rejects ambao kwenye ligi yetu wataonekana bora
Aaah mo na familia yake siyo simba[emoji2]Mbona hasira mkuu,,
Taratibu aiseh[emoji23]
Wenye uwezo nani ? GSM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me
Wanaondoka ni
Tairone
Shamte
Mlipili
Ndemla/fraga
Dilunga kuna biashara
Wanaokuja suggestion
Shonga
Mwamnyeto
Kelvin kijiri
Yondani
--+-----