Usajili Mpya Simba SC: Umakini na utulivu wa kiwango cha juu sana unahitajika

Dah, ngoja tuone,,

Benchi la ufundi hata siliamini,, vile kutuletea KICHUYA[emoji23],

Sijui huwa wanawaza nn ?

Ivi kweli KICHUYA?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji 5 wawili lazima wawe wa njee.
Hapa sijaelewa wanatakiwa wachezaji wazuri tu au ni lazima watoke njee? Je, kama haja yake inaweza timilizwa na waliopo hapa hapa kuna nini?
 
Media za Ghana zimeripoti mazungumzo yanaendelea baina ya simba na Asante Kotoko ,Simba inamchukua mchezaji mmoja kutoka Asante Kotoko

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza akawa yule striker wao ana Rasta anaitwa songne kama sijakosea amekataa kuongeza mkataba huko na kuna wakati aliwahi kutakiwa na zesco na Al hilal ya Sudan,pia amewahi kuja hapa kucheza na Simba ktk Simba day ya mwaka juzi,tulipocheza na Asante kotoko.
 
Wachezaji 5 wawili lazima wawe wa njee.
Hapa sijaelewa wanatakiwa wachezaji wazuri tu au ni lazima watoke njee? Je, kama haja yake inaweza timilizwa na waliopo hapa hapa kuna nini?
Shida ipo ktk kumwaga pesa[emoji57] na huduma stahiki,


Ligi ya Africa inahitaji african player,, mambo ya wahindi sijui wabrazil sijui nn tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo huyo huyo rasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…