1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nna wasiwasi safari hii Moe hawezi tenga kiasi kikubwa cha fedha,Mimi ngoja nikae kimya kwakweli, usajili ulopita niliongea sana matokeo yake mmh, sijui walisajili akina nani, niwaombee Mungu viongozi waweze tulia kwene huu usajili ase, !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu....Nyoso tena.....kwani....si ni agemate....wa kina Yondani.... hapana kwa kweli hatupaswi hata kumfikiria.Kennedy Juma inaonekana, ameanza kuona makosa yake na ameanza taratibu kujirekebisha, mechi ya Yanga na mwisho Simba kucheza alikuwa Bora Sana. Anaweza kubaki, lkn still tutahitaji CF wawili wenye roho mbaya.
Kibongo bongo kama Juma Nyoso angekuwa na muendelezo mzr angeweza kutufaa, tatizo wachezaji wetu Hawa wanakazaga wakicheza mechi kubwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hueleweki unachosema au ndio ile madhara ya umbumbumbu?[emoji2] Maraunaonhelea mabeki Mara unaenda kwa washambuliaji, Mara unarudi tena kwa mabekiKennedy Juma inaonekana, ameanza kuona makosa yake na ameanza taratibu kujirekebisha, mechi ya Yanga na mwisho Simba kucheza alikuwa Bora Sana. Anaweza kubaki, lkn still tutahitaji CF wawili wenye roho mbaya.
Kibongo bongo kama Juma Nyoso angekuwa na muendelezo mzr angeweza kutufaa, tatizo wachezaji wetu Hawa wanakazaga wakicheza mechi kubwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache bana,Ha ha ha hueleweki unachosema au ndio ile madhara ya umbumbumbu?[emoji2] Maraunaonhelea mabeki Mara unaenda kwa washambuliaji, Mara unarudi tena kwa mabeki
Ha ha ha na Mimi nilitaka nijifunze kwa kile alichokuwa ana present huyu mtani
Hali iliyopo sasa hapa Duniani sio rahisi burudani zikaendelea ndani ya miezi 3 toka sasa. Yaani ikitokea mashindano yakija kuendelea hapa ndio tutawajua wale wenye vipaji.MO mwaka huu hatoi hata mia, mwaka jana Simba walikuwa na mihela ya CAF na bado alishindwa kusajili akina Shonga, Mwaka huu timu haijapata hata mia ya CAF , atasubiri free agent na kusajili akina Mwanyeto
Wewe Rage alikusingizia tu kukuita mbumbumbu!Tatizo Simba sio pesa sema namba wanavyotumia pesa Ajibu alipewa mkataba kwa mapenzi Wala sio mahitaji ndemla naye hivyohivyo bocco alishapata timu south tukalazimisha huku tukijua Ana matatizo ya majeruhi katika wabrazil watatu ni fraga pekee mwenye kiwango kizuri pesa hizohizo zingetumiwa vizuri leo tungekuwa tunaongea kitu kingine na hapo tulikuwa na pesa za mauzo ya kichuya na salamba
Tunahtaji watu wenye impact chanya kwa tiny.yeye ni mchezaji was yanga Didi inatuhusu Nini.Yeah yondani anarudi kustaafia homee,
mkuu mo anaifuatilia hiyo ishu lkn alikuwa alete watafuta vipaji kutoka ughaibun lkn korona imekwamisha tatizo la makocha wetu ukiwapa kz.ya.kutafuta vipaji wanaleta.wenye vipaji na wtt wa mjomba na mashemejiIla Simba walitakiwa kuwa na malengo ya muda mrefu na mfupi. Malengo ya muda mfupi ni kuwa na timu bora ya kupigania mataji kitu ambacho tumeweza lakini malengo ya muda mrefu ni kuwa na tibu bora ya vijana kwa ajili ya baadae lakini uwekezaji wetu wa timu ya vijana ni wa kusuasua kwanza hatuna kocha mwenye sifa pili ukiondoa kipa hakuna mchezaji aliyepandishwa ukaona ana kitu mwisho hata wachezaji vijana kama Rashid Juma tumeshindwa kuwapromoti
Nazungumzia kuandaa timu bora ya vijana kwa wakati ujao kama kile cha kina mkude, ajibu, ndemla, miraji na wengineomkuu mo anaifuatilia hiyo ishu lkn alikuwa alete watafuta vipaji kutoka ughaibun lkn korona imekwamisha tatizo la makocha wetu ukiwapa kz.ya.kutafuta vipaji wanaleta.wenye vipaji na wtt wa mjomba na mashemeji
Shonga tumeshafeli, hatuna hela za kumlipa na CEO amethibitisha hilo. Mwamnyeto ameshaenda utopolo kwa hiyo tumsahau tu. Kijiri akija poa tu kwa sababu anastahili, Tshishimbi anastahili coz atakuja kukabaTrust me
Wanaondoka ni
Tairone
Shamte
Mlipili
Ndemla/fraga
Dilunga kuna biashara
Wanaokuja suggestion
Shonga
Mwamnyeto
Kelvin kijiri
Yondani
Papy Shishimbi 2years contronct /tayar huyu