Usajili Mpya Simba SC: Umakini na utulivu wa kiwango cha juu sana unahitajika

Hao wachezaji sita wanatakiwa kuwa fringe players au first xi players ?

Unapozungumzia defence midfield simba ina defence midfielders.wa caliber zote.

Mzamiru anaweza akacheza hiyo kazi chafu ya kupokonya mipira, na anaweza kucheza kama DM na CM with a double role.

Mkude is more of a register ambaye anahitaji sana central midfielder juu yake anayecheza double role.

Eldin Shiboub is CM anayeweza kucheza double role kama Mzamiru and is more Direct kuliko Mzamiru na Mkude.

Gerson Fraga ni register kama Mkude with a very good Zone marking skills.

Bado katika midfield ya aina hiyo unahitaji midfield wa aina gani mwingine ? Kotei na Mzamiru they are players of the same caliber tofauti ni body size na Spirit ya upambanaji tu.

Kwenye Defence hapo nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji atleast one or two centre backs lakini lazima tuoffload two centre backs ni nani hao mm sijui.

Kuhusu Full back wa kulia ni upuuzi kununua Fullback mwingine kama Fringe player wakati you have Gadiel and Erasto wanaoweza kucheza Fullbacks yeyote.

Kwenye CAM attacking midfield ndiyo tunatakiwa kuongeza nguvu as replacement ya Okwi na kutokuimarika kwa Ajib but we have a player already Luis Miquesone

Kwenye safu ya Ushambuliaji atleast tukipata Mshambuliaji mmoja tayari tutakuwa vizuri na hao simba inao tayari
Salamba na Edward Gerald.
Big no. Rudia tena kusoma na uelewe nilichoandika. Simba kwa sasa ipo vizuri ila inahitaji wachezaji sita tu wapya:-
1. Beki wa kulia wa kumsaidia Kapombe huyu atoke hapa hapa bongo. Na wapo wengi sana kwenye ligi yetu
2. Mabeki wawili wa kati mmoja wa kibongo mwingine wa kimataifa.
3 Kiungo mkabaji mmoja wa kusaidiana na Mkude na Muzamiru. Huyu awe wa kimataifa na awe na kipaji cha kupokonya mipira kwa adui
4. Washambuliaji asili wawili wakusaidiana na Boko na Kagere. Mmoja awe kibongo na mmoja awe wa kimataifa na ni lazima wote wawe vijana lakini "goal machine" kuwazidi Kagere na Boko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo shonga bonge la mchezaji si wakuhadithiwa bali kwa kumuona mwenyewe uwanjani, ila tatizo hizi timu za soweto pirates/chiefs zina mambo ya kihome boy sana.. ila simba wakifanikiwa kweli kumpata shonga basi itakuwa bonge la usajili.
Nakuhakikishia hiyo hela aidha iwe simba au Mo mwenyewe haiwezekani
 
Wadau naona hamjamzungumzia Kennedy Juma, hivi bado anatufaa pale Msimbazi huyu jamaa ?
 
Basi utakuwa hutumii akili,kuna siku utakula mavi kisa umekuta yametengwa mezani
Subiria wewe siku yake manara akikuambia ule mavi utakula tu,kwa jinsi anavyokuaminisheni ujinga,shonga ukitaja top 20 players wa psl naye yumo,mikia uwezo wa kusajili even top 100 players wa psl hamna,msimu hao al ahly tu walishindwa kumtoa shonga hapoorlandohttps://youtu.be/te88mixo3lA
 
Hao wachezaji sita wanatakiwa kuwa fringe players au first xi players ?

Unapozungumzia defence midfield simba ina defence midfielders.wa caliber zote.

Mzamiru anaweza akacheza hiyo kazi chafu ya kupokonya mipira, na anaweza kucheza kama DM na CM with a double role.

Mkude is more of a register ambaye anahitaji sana central midfielder juu yake anayecheza double role.

Eldin Shiboub is CM anayeweza kucheza double role kama Mzamiru and is more Direct kuliko Mzamiru na Mkude.

Gerson Fraga ni register kama Mkude with a very good Zone marking skills.

Bado katika midfield ya aina hiyo unahitaji midfield wa aina gani mwingine ? Kotei na Mzamiru they are players of the same caliber tofauti ni body size na Spirit ya upambanaji tu.

Kwenye Defence hapo nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji atleast one or two centre backs lakini lazima tuoffload two centre backs ni nani hao mm sijui.

Kuhusu Full back wa kulia ni upuuzi kununua Fullback mwingine kama Fringe player wakati you have Gadiel and Erasto wanaoweza kucheza Fullbacks yeyote.

Kwenye CAM attacking midfield ndiyo tunatakiwa kuongeza nguvu as replacement ya Okwi na kutokuimarika kwa Ajib but we have a player already Luis Miquesone

Kwenye safu ya Ushambuliaji atleast tukipata Mshambuliaji mmoja tayari tutakuwa vizuri na hao simba inao tayari
Salamba na Edward Gerald.
Ndugu hizo theory zako zinaweza kuwa na ukweli kiasi fulani lakini kumbuka mpira ni mchezo wa wazi na nimeitazama mechi nyingi sana za Simba kwenye VPL kabla haijasimamishwa. Na kila mpenda mpira wa nchi hii hata yule "layman" kabisa wa mpira anajua mapungufu ya Simba yapo wapi na kiuhalisia kabisa.
1. Kwa nafasi ya Kapombe bado mtizamo wangu ni ule ule lazima aongezwe beki mwingine mwenye uwezo sawa na wake au anayemkaribia kwani Shamte ameshindwa kabisa kumsaidia Kapombe. Ni kweli Erasto, Muzamiru na hata Wawa wanaweza kucheza beki ya kulia kuziba nafasi ya Kapombe lakini watakupa "option" moja tu ya kuzuia. Lakini hawana uwezo wa kukaba na kushambulia kama anavyofanya Kapombe kwa dakika zote 90 za mchezo kwenda kwenye lango la adui kupiga krosi zenye macho na kurudi kuzuia kwenye lango lake. Na inajulikana wazi Kapombe ni aina ya wachezaji ambao hupata majeraha mara kwa mara kwa hiyo hawezi kutumika kwa asilimia 100 kwa msimu mzima. Na hata akiwa mzima bado kuna suala la uchovu kwa kucheza mfululizo.
2. Kwa nafasi ye beki wa kati nashukuru hili tatizo hata wewe umeliona kwani Erasto na Wawa umri umeanza kuwatupa mkono. Kuimarisha eneo hili Simba inahitajika wasajili mabeki wapya wawili kuwaongezea nguvu Wawa na Erasto. Na hapa pia Erasto siku hizi amekuwa mtu wa mejeruhi sana Kwa nafasi hii Tairone na Kennedy ni mabeki wazuri lakini kwa viwango vyao hawastahili kuchezea Simba hii inayotaka kwenda kimataifa.
3. Kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kupokonya mipira anahitajika kuwaongezea nguvu Mkude na Muzamiru. Kila mtu anajua Mkude ni mzuri sana anapokuwa na mpira anajua ausambaze vipi na ni vigumu sana kuuchuka mpira miguuni mwake lakini udhaifu wake mkubwa ni kwenye kukaba na kunusa hatari ndio maana siku zote akizidiwa kidogo tu silaha yake ni kucheza rafu za kitoto. Ukitaka kuuona na kufurahia utamu wa Mkude umpange sambamba na kiungo mwenzake amkabie yeye abakie na jukumu tu la kusambaza mipira. Kwa maana hiyo hitaji kubwa la Simba ni kutafuta kiungo ambaye anaweza kufanya kazi zote mbili za kukaba na kugawa mipira kwa ufanisi kwa wakati mmoja ili mwalimu awe na plan "B" sio kila wakati ili timu ifanye vizuri alazimike kutumia viungo wakabaji wawili.
4. Kwa upande wa washambuliaji asili wakati nashukuru hata wewe hili umeliona kuwa ni hitaji la usajili. Ni kweli Kagere na Boko bado wanahitajika sana Simba kwa hata misimu miwili mbele lakini zile mechi za mfululizo za VPL za Jumapili, Jumatano halafu tena Jumamosi zilikuwa zinawachosha sana ukizingatia na umri wao umeenda ufanisi wao uwanjani ulikuwa unapungua sana. Lakini iwapo watapatikana vijana wawili wazuri wa kusaidiana nao wakawa wanacheza walau mechi moja tu kila wiki hakika tutafurahia ufundi wa hawa wazee hata kwa misimu miwili ijayo. Mapendekezo yako kwa nafasi hii umemtaja Salamba namkataa kabisa kwani alishapewa nafasi hiyo akashindwa kufanya mambo ya msingi ya kufunga magoli yeye akawa analeta ubishoo wa kukimbia kama amefungwa mawe kiunoni. Huyo mwingine uliyemtaja kwa jina la Gerald Samwel siwezi kusema chochote kwa sababu sijawahi kumuona akicheza popote. Hitaji la "goal machine" mmoja kutoka nje lipo pale pale na hapa Simba lazima wavunje benki kupata kifaa cha maana.
 
Subiria wewe siku yake manara akikuambia ule mavi utakula tu,kwa jinsi anavyokuaminisheni ujinga,shonga ukitaja top 20 players wa psl naye yumo,mikia uwezo wa kusajili even top 100 players wa psl hamna,msimu hao al ahly tu walishindwa kumtoa shonga hapoorlandohttps://youtu.be/te88mixo3lA
Mchezaji ghali zaidi ABSA ni Khama anapokea kama Tsh.110,000,000 kwa mwezi halafu unaokoteza data mitandaoni kujifurahisha unatuambia Shonga analipwa zaidi ya Tsh.1.4b
 
Mimi ngoja nikae kimya kwakweli, usajili ulopita niliongea sana matokeo yake mmh, sijui walisajili akina nani, niwaombee Mungu viongozi waweze tulia kwene huu usajili ase, !!
Bora wewe umeweza kukaa kimya sisi wengine tunatamani kukaa kimya lakini tunashindwa pale tunapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo. Usajili wa hawa Kurwa na Doto wa Kariakoo na Jangwani kwa kweli ni pasua kichwa kabisa. Utawakuta wakati mwingine mchezaji hata hayupo kwenye mipango yao au tayari wana mchezaji mwenye uwezo zaidi lakini watamsajili mchezo fulani kwa kugombaniana ili tu kukomoana na huyo mchezaji akishasajiliwa atakaa benchi hata miaka miwili maana kocha hakuwa na mipango naye baadaye utasikia wamemuacha au wamemtoa kwa mkopo.

Mimi bado naamini ipo siku watatokea viongozi wenye maono kwenye hivi vilabu viwili vikubwa Tanzania wataanza kusajili kwa ajili ya mahitaji ya timu na kwa kufuata mahitaji ya benchi la ufundi. Ikifika hatua hiyo ndipo mapinduzi ya soka la nchi hii yatakapoanzia na ndio itakuwa mwanzo wa kupiga hatua kimataifa. Vinginevyo tutabaki kutambiana nani kamfunga nani, nani kachukua ubingwa wa VPL basi tukitoka tu kukutana na akina UD Songo au Zesco tunarudi na mabegi yetu kuendelea na VPL.
 
Nyoni katika career yake yote amecheza kama full back na midfielder sasa unaposema hawezi kukupa magoli nashindwa kukuelewa.

Kwenye Midfield simba inawachezaji wa aina zote pale DM ni suala la kublend tu hiyo midfield REGISTA (mkude,Fraga) with Offensive DM Mzamiru )

Kama tunahitaji DM mwingine hatuna budi kumoffload Shiboub au Fraga na tukamsajili TADEO LWANGA kutoka pale VIPERS ya Uganda.
Ndugu hizo theory zako zinaweza kuwa na ukweli kiasi fulani lakini kumbuka mpira ni mchezo wa wazi na nimeitazama mechi nyingi sana za Simba kwenye VPL kabla haijasimamishwa. Na kila mpenda mpira wa nchi hii hata yule "layman" kabisa wa mpira anajua mapungufu ya Simba yapo wapi na kiuhalisia kabisa.
1. Kwa nafasi ya Kapombe bado mtizamo wangu ni ule ule lazima aongezwe beki mwingine mwenye uwezo sawa na wake au anayemkaribia kwani Shamte ameshindwa kabisa kumsaidia Kapombe. Ni kweli Erasto, Muzamiru na hata Wawa wanaweza kucheza beki ya kulia kuziba nafasi ya Kapombe lakini watakupa "option" moja tu ya kuzuia. Lakini hawana uwezo wa kukaba na kushambulia kama anavyofanya Kapombe kwa dakika zote 90 za mchezo kwenda kwenye lango la adui kupiga krosi zenye macho na kurudi kuzuia kwenye lango lake. Na inajulikana wazi Kapombe ni aina ya wachezaji ambao hupata majeraha mara kwa mara kwa hiyo hawezi kutumika kwa asilimia 100 kwa msimu mzima. Na hata akiwa mzima bado kuna suala la uchovu kwa kucheza mfululizo.
2. Kwa nafasi ye beki wa kati nashukuru hili tatizo hata wewe umeliona kwani Erasto na Wawa umri umeanza kuwatupa mkono. Kuimarisha eneo hili Simba inahitajika wasajili mabeki wapya wawili kuwaongezea nguvu Wawa na Erasto. Na hapa pia Erasto siku hizi amekuwa mtu wa mejeruhi sana Kwa nafasi hii Tairone na Kennedy ni mabeki wazuri lakini kwa viwango vyao hawastahili kuchezea Simba hii inayotaka kwenda kimataifa.
3. Kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kupokonya mipira anahitajika kuwaongezea nguvu Mkude na Muzamiru. Kila mtu anajua Mkude ni mzuri sana anapokuwa na mpira anajua ausambaze vipi na ni vigumu sana kuuchuka mpira miguuni mwake lakini udhaifu wake mkubwa ni kwenye kukaba na kunusa hatari ndio maana siku zote akizidiwa kidogo tu silaha yake ni kucheza rafu za kitoto. Ukitaka kuuona na kufurahia utamu wa Mkude umpange sambamba na kiungo mwenzake amkabie yeye abakie na jukumu tu la kusambaza mipira. Kwa maana hiyo hitaji kubwa la Simba ni kutafuta kiungo ambaye anaweza kufanya kazi zote mbili za kukaba na kugawa mipira kwa ufanisi kwa wakati mmoja ili mwalimu awe na plan "B" sio kila wakati ili timu ifanye vizuri alazimike kutumia viungo wakabaji wawili.
4. Kwa upande wa washambuliaji asili wakati nashukuru hata wewe hili umeliona kuwa ni hitaji la usajili. Ni kweli Kagere na Boko bado wanahitajika sana Simba kwa hata misimu miwili mbele lakini zile mechi za mfululizo za VPL za Jumapili, Jumatano halafu tena Jumamosi zilikuwa zinawachosha sana ukizingatia na umri wao umeenda ufanisi wao uwanjani ulikuwa unapungua sana. Lakini iwapo watapatikana vijana wawili wazuri wa kusaidiana nao wakawa wanacheza walau mechi moja tu kila wiki hakika tutafurahia ufundi wa hawa wazee hata kwa misimu miwili ijayo. Mapendekezo yako kwa nafasi hii umemtaja Salamba namkataa kabisa kwani alishapewa nafasi hiyo akashindwa kufanya mambo ya msingi ya kufunga magoli yeye akawa analeta ubishoo wa kukimbia kama amefungwa mawe kiunoni. Huyo mwingine uliyemtaja kwa jina la Gerald Samwel siwezi kusema chochote kwa sababu sijawahi kumuona akicheza popote. Hitaji la "goal machine" mmoja kutoka nje lipo pale pale na hapa Simba lazima wavunje benki kupata kifaa cha maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoni katika career yake yote amecheza kama full back na midfielder sasa unaposema hawezi kukupa magoli nashindwa kukuelewa.

Kwenye Midfield simba inawachezaji wa aina zote pale DM ni suala la kublend tu hiyo midfield REGISTA (mkude,Fraga) with Offensive DM Mzamiru )

Kama tunahitaji DM mwingine hatuna budi kumoffload Shiboub au Fraga na tukamsajili TADEO LWANGA kutoka pale VIPERS ya Uganda.
Nakubaliana na wewe kabisa kwa asiliimia 100 Nyoni alikuwa full back mzuri sana toka amerudi nchini toka nje kati ya Burundi au Rwanda alipokuwa anacheza mpira wa kulipwa yeye na mwenzake Salvatory Ntebe (sijui yupo wapi huyu jamaa). Lakini kwa umri wake kwa sasa ukimpa Nyoni mbavu ya kulia aanze kukimbizana na wakina Morisson, Kipagawile na Kihimbwa maana yake umeamua astaafu mpira mapema. Yeye anaweza tu kuziba pengo pale ambapo labda katikati ya mchezo Kapombe kaumia au kapewa kadi lakini si wa kumtegemea kama mbadala wa Kapombe msimu mzima. Hataweza zile purukushani za panda shuka mwisho wa siku atakuwa anasoma namba za wakina Morisson, Kihimbwa na Kipagawile na mashabiki wa bongo walivyo na kelele ndio itakuwa mwisho wa "career" yake. Lakini pale katikati nne na tano bado atacheza sana muda mrefu kwa sababu kwa beki mzoefu ukiweza kuwapanga mabeki wako wa pembeni vizuri na kiungo wako mkabaji basi kinachobaki wewe ni akili yako na "timing" basi hata kama unakabana mshambuliaji mkali kiasi gani mbio zitakuwa mara moja moja sana.

Kwa kiungo mkabaji jaribu tu kutazama pale Muzamiru alipokuwa majeruhi kwa muda mrefu, lazima niwe mkweli kuwa mechi nyingi Mkude alicheza vizuri sana lakini kuna baadhi ya mechi alipotea kabisa mpaka unaona sasa kunahitajika mabadiliko au "plan B". Lakinikila ukitizama kwenye benchi huoni huyo mchezaji wa kuleta hiyo "plan B". Nikiwaangalia Fraga na Shiboub japo wanaweza kucheza kama viungo wakabaji lakini wao ni "attack minded" kiasi ukiwaweka kama viungo wakabaji mara nyingi wanakuwa wanashambulia kuliko kukaba na hivyo kuwaacha mabeki wa katikati muda mwingi kuwa "exposed" sana na washambuliaji wa timu pinzani.
 
Ndugu hizo theory zako zinaweza kuwa na ukweli kiasi fulani lakini kumbuka mpira ni mchezo wa wazi na nimeitazama mechi nyingi sana za Simba kwenye VPL kabla haijasimamishwa. Na kila mpenda mpira wa nchi hii hata yule "layman" kabisa wa mpira anajua mapungufu ya Simba yapo wapi na kiuhalisia kabisa.
1. Kwa nafasi ya Kapombe bado mtizamo wangu ni ule ule lazima aongezwe beki mwingine mwenye uwezo sawa na wake au anayemkaribia kwani Shamte ameshindwa kabisa kumsaidia Kapombe. Ni kweli Erasto, Muzamiru na hata Wawa wanaweza kucheza beki ya kulia kuziba nafasi ya Kapombe lakini watakupa "option" moja tu ya kuzuia. Lakini hawana uwezo wa kukaba na kushambulia kama anavyofanya Kapombe kwa dakika zote 90 za mchezo kwenda kwenye lango la adui kupiga krosi zenye macho na kurudi kuzuia kwenye lango lake. Na inajulikana wazi Kapombe ni aina ya wachezaji ambao hupata majeraha mara kwa mara kwa hiyo hawezi kutumika kwa asilimia 100 kwa msimu mzima. Na hata akiwa mzima bado kuna suala la uchovu kwa kucheza mfululizo.
2. Kwa nafasi ye beki wa kati nashukuru hili tatizo hata wewe umeliona kwani Erasto na Wawa umri umeanza kuwatupa mkono. Kuimarisha eneo hili Simba inahitajika wasajili mabeki wapya wawili kuwaongezea nguvu Wawa na Erasto. Na hapa pia Erasto siku hizi amekuwa mtu wa mejeruhi sana Kwa nafasi hii Tairone na Kennedy ni mabeki wazuri lakini kwa viwango vyao hawastahili kuchezea Simba hii inayotaka kwenda kimataifa.
3. Kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kupokonya mipira anahitajika kuwaongezea nguvu Mkude na Muzamiru. Kila mtu anajua Mkude ni mzuri sana anapokuwa na mpira anajua ausambaze vipi na ni vigumu sana kuuchuka mpira miguuni mwake lakini udhaifu wake mkubwa ni kwenye kukaba na kunusa hatari ndio maana siku zote akizidiwa kidogo tu silaha yake ni kucheza rafu za kitoto. Ukitaka kuuona na kufurahia utamu wa Mkude umpange sambamba na kiungo mwenzake amkabie yeye abakie na jukumu tu la kusambaza mipira. Kwa maana hiyo hitaji kubwa la Simba ni kutafuta kiungo ambaye anaweza kufanya kazi zote mbili za kukaba na kugawa mipira kwa ufanisi kwa wakati mmoja ili mwalimu awe na plan "B" sio kila wakati ili timu ifanye vizuri alazimike kutumia viungo wakabaji wawili.
4. Kwa upande wa washambuliaji asili wakati nashukuru hata wewe hili umeliona kuwa ni hitaji la usajili. Ni kweli Kagere na Boko bado wanahitajika sana Simba kwa hata misimu miwili mbele lakini zile mechi za mfululizo za VPL za Jumapili, Jumatano halafu tena Jumamosi zilikuwa zinawachosha sana ukizingatia na umri wao umeenda ufanisi wao uwanjani ulikuwa unapungua sana. Lakini iwapo watapatikana vijana wawili wazuri wa kusaidiana nao wakawa wanacheza walau mechi moja tu kila wiki hakika tutafurahia ufundi wa hawa wazee hata kwa misimu miwili ijayo. Mapendekezo yako kwa nafasi hii umemtaja Salamba namkataa kabisa kwani alishapewa nafasi hiyo akashindwa kufanya mambo ya msingi ya kufunga magoli yeye akawa analeta ubishoo wa kukimbia kama amefungwa mawe kiunoni. Huyo mwingine uliyemtaja kwa jina la Gerald Samwel siwezi kusema chochote kwa sababu sijawahi kumuona akicheza popote. Hitaji la "goal machine" mmoja kutoka nje lipo pale pale na hapa Simba lazima wavunje benki kupata kifaa cha maana.
Salamba hakupata muda wa kutosha lakini alikuwa na magoli ambayo huwezi kulinganisha na Boko kulingana na idadi ya mechi
 
Basi utakuwa hutumii akili,kuna siku utakula mavi kisa umekuta yametengwa mezani
yanga wanafatilia sana usajili wetu wao wanabahatika kusajili wachezaji wa simba ambao hawana namba kama sasa hivi wanavyohaha kumtaka Ndemla na Mpilipili lakini bado hawataki kuamini Simba wapo juu wanabaki kusingizia tunatoa rushwa
 
Nakubaliana na wewe kabisa kwa asiliimia 100 Nyoni alikuwa full back mzuri sana toka amerudi nchini toka nje kati ya Burundi au Rwanda alipokuwa anacheza mpira wa kulipwa yeye na mwenzake Salvatory Ntebe (sijui yupo wapi huyu jamaa). Lakini kwa umri wake kwa sasa ukimpa Nyoni mbavu ya kulia aanze kukimbizana na wakina Morisson, Kipagawile na Kihimbwa maana yake umeamua astaafu mpira mapema. Yeye anaweza tu kuziba pengo pale ambapo labda katikati ya mchezo Kapombe kaumia au kapewa kadi lakini si wa kumtegemea kama mbadala wa Kapombe msimu mzima. Hataweza zile purukushani za panda shuka mwisho wa siku atakuwa anasoma namba za wakina Morisson, Kihimbwa na Kipagawile na mashabiki wa bongo walivyo na kelele ndio itakuwa mwisho wa "career" yake. Lakini pale katikati nne na tano bado atacheza sana muda mrefu kwa sababu kwa beki mzoefu ukiweza kuwapanga mabeki wako wa pembeni vizuri na kiungo wako mkabaji basi kinachobaki wewe ni akili yako na "timing" basi hata kama unakabana mshambuliaji mkali kiasi gani mbio zitakuwa mara moja moja sana.

Kwa kiungo mkabaji jaribu tu kutazama pale Muzamiru alipokuwa majeruhi kwa muda mrefu, lazima niwe mkweli kuwa mechi nyingi Mkude alicheza vizuri sana lakini kuna baadhi ya mechi alipotea kabisa mpaka unaona sasa kunahitajika mabadiliko au "plan B". Lakinikila ukitizama kwenye benchi huoni huyo mchezaji wa kuleta hiyo "plan B". Nikiwaangalia Fraga na Shiboub japo wanaweza kucheza kama viungo wakabaji lakini wao ni "attack minded" kiasi ukiwaweka kama viungo wakabaji mara nyingi wanakuwa wanashambulia kuliko kukaba na hivyo kuwaacha mabeki wa katikati muda mwingi kuwa "exposed" sana na washambuliaji wa timu pinzani.
Mkude ana udhaifu mkubwa maara nyingi timu inaposhambuliwa anakuwa hayuko sehemu sahihi na atakapokuwa sehemu sahihi anaishia kucheza rafu za kijinga.Mechi tuliyofungwa na Al haily ya Misri kule kwao ilionyesha udhaifu mkubwa sana wa Mkude ila sielewi kwanini benchi la ufundi hawamtumii Fraga kwani mara nyingi anakuwa eneo sahihi pia huwa hakai na mpira muda mrefu kiasi cha kumpa nafasi adui kufikiria au kujipanga wapi mpira unakwenda kocha wa yanga kama kocha mwingine yeyote mzuri aliisoma simba udhaifu wake na akatumia kuwauwa.
Wawa ameonyesha kujituma ila rafu zake nyingine za kupiga watu bila sababu zinaweza kugharimu timu kwa kifupi simba ilifanya ujinga kumwachia Julko wakati umri wake ulikuwa unaruhusu.
Haruna Shamte sijui alisajiliwa Simba kwa kigezo gani kwani ameonyesha madhaifu makubwa hasa kwenye kukaba na kusindikiza washambuliaji
Pale mbele tunahitaji mtu wa kumalizia kwani Simba wamekuwa wakitengeneza nafasi nyingi lakini ukiondoa Kagere hatuna mshambuliaji mwingine Boko anapoteza nafasi nyingi sana ingawa bado benchi la ufundi limeendelea kumwamini
 
Wadau naona hamjamzungumzia Kennedy Juma, hivi bado anatufaa pale Msimbazi huyu jamaa ?
Kennedy Juma inaonekana, ameanza kuona makosa yake na ameanza taratibu kujirekebisha, mechi ya Yanga na mwisho Simba kucheza alikuwa Bora Sana. Anaweza kubaki, lkn still tutahitaji CF wawili wenye roho mbaya.

Kibongo bongo kama Juma Nyoso angekuwa na muendelezo mzr angeweza kutufaa, tatizo wachezaji wetu Hawa wanakazaga wakicheza mechi kubwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji ghali zaidi ABSA ni Khama anapokea kama Tsh.110,000,000 kwa mwezi halafu unaokoteza data mitandaoni kujifurahisha unatuambia Shonga analipwa zaidi ya Tsh.1.4b
Shonga yuko sokoni,kila la heri wazee 😂
 
Attachments

  • Screenshot_20200327-184041_Chrome.jpg
    Screenshot_20200327-184041_Chrome.jpg
    93 KB · Views: 3
  • Screenshot_20200327-184146_Chrome.jpg
    Screenshot_20200327-184146_Chrome.jpg
    96.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom