herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Ujanja hauwezi kwisha... unadhani kwanini kocha hajachagua wachezaji yeye mwenyewe??Kwa sasa ukanjanja utapungua CEO yupo yakifanyika magumashi hayatazidi mawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujanja hauwezi kwisha... unadhani kwanini kocha hajachagua wachezaji yeye mwenyewe??Kwa sasa ukanjanja utapungua CEO yupo yakifanyika magumashi hayatazidi mawili
Huna hela ya kumnunua yule mkoba Wa Zesco. Kwa ujanja ujanja ulionao huo, thubutuuuu!Linapokuja swala la usajili kwa upande Simba kwa siku za karibuni imekuwa ni tatizo kubwa sana. Mwaka jana tuliaminishwa kuwa Idris Mbombo, Bwalya, Mugalu, Lazaro Kambole na hata huyo Shonga anayezungumziwa sasa wangekuja Simba lakini mwisho wa siku aliyekuja ni Da Silva.Najiuliza iwapo Shonga ilishindikana kumsajili wakati anatoka Zambia kwenda South Africa je sasa itawezekana kumtoa South Africa kumleta bongo? Ngoja tusubiri labda viongozi kuna kitu wamejifunza kutokana na usajili wa mwaka jana.
Hivi aliyemleta Chama si bado yupo Simba kwa nini asiingie chimbo tena akaleta wachezaji wa tano tu kama Chama au zaidi ya Chama kwenye nafasi zifuatazo:
1. Beki wa kulia wa kumsaidia Kapombe. Ikumbukwe hapa kuwa Kapombe anapata majeruhi ya mara kwa mara na msaidizi wake Shamte ni pasua kichwa mara leo acheze vizuri mara kesho aboronge. Inaelekea Shamte baada ya kusajiliwa Simba kwa mara nyingine mpira wake wote aliuacha huko Lipuli. Kwa nafasi hii hata mchezaji wa kibongo anatosha kwani Kapombe mwenye namba yake tayari ni wa kimataifa.
2. Mabeki wawili wa kati watu katili wa kazikazi kwa kwenda mbele mmoja mzawa mwingine wa kamataifa. Hawa wanatakiwa wawe vijana wenye kasi kwa ajili ya kupokea kijiti kutoka kwa Nyoni na Wawa. Nyoni kwa sasa hawezi tena kucheza mechi tano mfululizo bila majeraha na Wawa akili ipo lakini mwili unaanza kukataa. Baada ya mwaka mmoja au miwili hawa wote hawatakuwepo Simba. Kuna beki mmoja hivi rasta alikuja na timu ya mojawapo ya Zambia nimeisahau jina jamaa katulia sana yaani bonge la beki angefaa sana Simba. Beki wa ndani kuna Mwamnyeto, Nyoso au "wamrecycle" Mlipili. Naamini Mlipili bado ni bonge la beki ila sijui upepo gani umempitia toka kwa AUSEMS mpaka kwa SVEN
3. Kiungo mkabaji wa kimataifa mkata umeme kwelikweli mwenye kipaji cha kupokonya mipira kwa adui aweze kusaidiana na Mkude na Muzamiru. Hapa ndio shida hasa ya Simba ipo inabidi kamati ya usajili itulie hasa ili kumpata mchezaji sahihi wa hii nafasi. Ikishindikana kabisa kupatikanika basi wampe tena mwaka mmoja Fraga kwa masharti mazito kuwa aongeze kiwango chake zaidi ya alichonacho sasa.
4. Washambuliaji wawili asilia wa wakati mmoja wa ndani na mwingine wa kimataifa. Hapa inahitajika "goal machine" kwa gharama yoyote ile. Wanahitajika wachezaji wenye jicho kali la goli na si watu kubahatisha kama Da Silva na umri wao uwe mdogo. Boko na Kagere ni washambuliaji wazuri sana ila kwa sasa wanatakiwa wacheze mechi moja tu kwa wiki kutokana na umri wao lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu hakuna watu wa kuwapumzisha. Wakipatikana watu wa kuwapumzisha nina hakika watacheza hata misimu miwili mbele kwa ufanisi mkubwa.
Viungo washambuliaji wa katikati na wapembeni (mawinga) waliopo sasa Simba wanatosha sana. Na hapa ndio nguvu ya Simba ilipolala inabidi paachwe kama palivyo pasiguswe kabisa labda tu iwapo litachomolewa jembe na kuletwa jembe jipya kali zaidi.
Mwisho sioni nafasi ya Tshishimbi na Yondani Simba viongozi wawapotezee tu. Wachezaji waandamizi wenye umri na viwango kama Yondani na Tshishimbi wapo wa kutosha Simba sasa hivi wanahitjika vijana wenye umri mdogo damu inachemka kama akina Luis.
Tshishimbi kawazidi nini wachezaji waliopo Simba Mbona inasemakana Simba inamuhitaji? Hata huyo Morrison zilitoka taarifa kuwa Simba wanamuhitaji kwa udi na uvumba lakini wakamkosa. Sasa unaposhangaa hilo la usajili kwa klabu za Simba na Yanga basi ni wazi kuwa wewe ni mgeni na hizi timuFootbal mchezo wa matokeo ni ujinga kwa simba kumpa mkataba morrison wakati wamejaza wachezaji wanaomzidi magoli na assist na experience ya kimataifa
Usajili wa msimu uliopita,Simba hawakubolonga kwa bahati mbaya,ilikuwa ni mipango mkakati wa MAKUPE,kupiga faranga,ndiyo maana mkaletewa wa Latino Amerika watatu, na mkasajili zaidi ya wachezaji kumi,wakati mahitaji hakuwa kusajili lundo la wachezaji.Watu tunataka 10% za wachezaji wapya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3]Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba (CEO), Senzo Mazingiza amethibitisha kupokea ripoti ya kocha Sven Vanderbroeck kuhusu Usajili wa msimu ujao Katika ripoti hiyo Kocha Sven anataka wachezaji 5 wa nguvu ikiwa wawili wachezaji wa ndani na watatu wachezaji wa nje na kazi ya kutafuta wachezaji hao imeanza mara moja.
Katika ripoti hiyo Kocha Sven amesema kigezo cha umri na uwezo kitumike haswa kuchagua wachezaji hao wachezaji wanaotakiwa ni mabeki watatu ikiwa wawili wa Kati na moja wa kulia, kiungo mkabaji mmoja na mshambuliaji mmoja. Senzo amesema wameanza kubainisha wachezaji hao kabla ya kuwachuja na kufanya Usajili.
Kimsingi nafasi anazohitaji kocha zina matatizo makubwa,ukweli usemwe. Simba SC haina beki wakushiba. Simba SC ina shida ya striker wa kumsaidia Kagere Meddie.
Repoti inasema kocha anataka wachezaji wa nje watatu. Hapa ndio umakini wa kiwango cha lami unahitajika,tusifanye makosa kama tuliyofanya kwa Wabrazili. Kwa maoni yangu hao wageni wawe ni Striker mmoja msaidizi wa Kagere. Beki mmoja wa kati anahitajika sana maana upepo wa Nyoni umekwisha. Pia mgeni mmoja wa kumsaidia Shomari Kapombe.
Katika hizo nafasi 2 za local prayers napendekeza uongozi wa Simba SC wamuulike Lusajo wa Namungo na Nondo Mwamnyeto.
Kuna strikers kadhaa wa kigeni wanatajwa kufanya mazungumzo na Simba SC, mmojawapo akiwa Justin Shonga wa Orlando Pirates. Kama tetesi hizi ni kweli basi itakuwa bonge moja la usajili. Kiukweli Simba sc inahitaji wachezaji wenye speed kama Shonga.
Wapo wachezaji ambao inabidi wapewe mkono wa kwa kheri hata kama ni kwa mkopo. Mmoja wapo ni Beki wa Kati Mbrazili, Haruna Shamte, John Bocco, Saidi Ndemla, Mlipili na Nyoni. Wako baadhi bado ni wazuri ila sioni namna watakavyoweza kupata nafasi ya kucheza.
Haya ni maoni yangu binafsi. Jambo la msingi ni kuwa usajili uliopita Simba Sc iliboronga. Ni matumani tetu msimu mtatumia akili kubwa kwa sababu ya uongozi imara chini ya CEO Senzo.
Umenena vyema mkuu,Simba lazima Kama inahitaji mshambuliaji hatari,lazima wakubali kutoboka mfuko(kuvunja bank)vinginevyo kusubiri waliomaliza mikatabaHuyu shonga tulimkosa msimu uliopita nahisi shida ilikuwa malipo,ila kiukweli Simba na wachezaji wengi ambao wamekuwa mizigo hatustahili kuwa nao mfano Wawa,Bocco,Shiboub,Kennedy,shamte,fraga,tairone,ndemla,nyoni,kichuya siioni nafasi yake,manula anahitaji golikipa mkali wa kumpa changamoto,beno ana makosa mengi ya kujirudia, Kagere bado mzuri ila sio wa kumtegemea kwa hundred percent ametumika sana.Simba tunahitaji mabeki wa kati wakali na wenye uzoefu mkubwa, tunahitaji kiungo mkabaji anayemzidi Jonas mkude vitu vingi sio tu kukaba, tunahitaji striker atlest wawili wazuri hapa Africa hawakosi,ila ombi langu tuache kusajili wachezaji waliomaliza mikataba ikibidi tuvunje benki huwezi kupata mchezaji mzuri akiwa free huu ndio ukweli,Kama tupo serious na mpira wa Africa tuvunje benki na tutumie hela nyingi ktk usajili,pia wachezaji wa ndani tuchukue wale wenye quality ya Hali ya juu sio kwasababu Yanga wanataka na sisi tumo hii sio akili.
Nashukuru sana kunikumbusha huyo mkoba mwenye rasta mnyama fulani mtulivu hivi anatumia nguvu panapostahili na akili panapostahili beki wa kati wa Zesco. Ila sio mimi ninayetaka kumnunua bali tu nilikuwa nawakumbusha viongozi wa Simba wanaosema kila siku wanataka timu yao iwe sawa na TP Mazembe, Alhaly, Mamelodi n.k. basi wavunje benki walete wachezaji wa aina hiyo sio kila siku kugombea na mtani wake Yanga wakina Tshishimbi, Niyonzima, Ajibu, Gadiel na Morisson.Huna hela ya kumnunua yule mkoba Wa Zesco. Kwa ujanja ujanja ulionao huo, thubutuuuu!
Kichuya kaletwa na wazee wa mjini a.k.a.10% ,Hawa ndiyo virusi wa soka letu bongo.Dah, ngoja tuone,,
Benchi la ufundi hata siliamini,, vile kutuletea KICHUYA[emoji23],
Sijui huwa wanawaza nn ?
Ivi kweli KICHUYA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Linapokuja swala la usajili kwa upande Simba kwa siku za karibuni imekuwa ni tatizo kubwa sana. Mwaka jana tuliaminishwa kuwa Idris Mbombo, Bwalya, Mugalu, Lazaro Kambole na hata huyo Shonga anayezungumziwa sasa wangekuja Simba lakini mwisho wa siku aliyekuja ni Da Silva.Najiuliza iwapo Shonga ilishindikana kumsajili wakati anatoka Zambia kwenda South Africa je sasa itawezekana kumtoa South Africa kumleta bongo? Ngoja tusubiri labda viongozi kuna kitu wamejifunza kutokana na usajili wa mwaka jana.
Hivi aliyemleta Chama si bado yupo Simba kwa nini asiingie chimbo tena akaleta wachezaji wa tano tu kama Chama au zaidi ya Chama kwenye nafasi zifuatazo:
1. Beki wa kulia wa kumsaidia Kapombe. Ikumbukwe hapa kuwa Kapombe anapata majeruhi ya mara kwa mara na msaidizi wake Shamte ni pasua kichwa mara leo acheze vizuri mara kesho aboronge. Inaelekea Shamte baada ya kusajiliwa Simba kwa mara nyingine mpira wake wote aliuacha huko Lipuli. Kwa nafasi hii hata mchezaji wa kibongo anatosha kwani Kapombe mwenye namba yake tayari ni wa kimataifa.
2. Mabeki wawili wa kati watu katili wa kazikazi kwa kwenda mbele mmoja mzawa mwingine wa kamataifa. Hawa wanatakiwa wawe vijana wenye kasi kwa ajili ya kupokea kijiti kutoka kwa Nyoni na Wawa. Nyoni kwa sasa hawezi tena kucheza mechi tano mfululizo bila majeraha na Wawa akili ipo lakini mwili unaanza kukataa. Baada ya mwaka mmoja au miwili hawa wote hawatakuwepo Simba. Kuna beki mmoja hivi rasta alikuja na timu ya mojawapo ya Zambia nimeisahau jina jamaa katulia sana yaani bonge la beki angefaa sana Simba. Beki wa ndani kuna Mwamnyeto, Nyoso au "wamrecycle" Mlipili. Naamini Mlipili bado ni bonge la beki ila sijui upepo gani umempitia toka kwa AUSEMS mpaka kwa SVEN
3. Kiungo mkabaji wa kimataifa mkata umeme kwelikweli mwenye kipaji cha kupokonya mipira kwa adui aweze kusaidiana na Mkude na Muzamiru. Hapa ndio shida hasa ya Simba ipo inabidi kamati ya usajili itulie hasa ili kumpata mchezaji sahihi wa hii nafasi. Ikishindikana kabisa kupatikanika basi wampe tena mwaka mmoja Fraga kwa masharti mazito kuwa aongeze kiwango chake zaidi ya alichonacho sasa.
4. Washambuliaji wawili asilia wa wakati mmoja wa ndani na mwingine wa kimataifa. Hapa inahitajika "goal machine" kwa gharama yoyote ile. Wanahitajika wachezaji wenye jicho kali la goli na si watu kubahatisha kama Da Silva na umri wao uwe mdogo. Boko na Kagere ni washambuliaji wazuri sana ila kwa sasa wanatakiwa wacheze mechi moja tu kwa wiki kutokana na umri wao lakini kwa sasa haiwezekani kwa sababu hakuna watu wa kuwapumzisha. Wakipatikana watu wa kuwapumzisha nina hakika watacheza hata misimu miwili mbele kwa ufanisi mkubwa.
Viungo washambuliaji wa katikati na wapembeni (mawinga) waliopo sasa Simba wanatosha sana. Na hapa ndio nguvu ya Simba ilipolala inabidi paachwe kama palivyo pasiguswe kabisa labda tu iwapo litachomolewa jembe na kuletwa jembe jipya kali zaidi.
Mwisho sioni nafasi ya Tshishimbi na Yondani Simba viongozi wawapotezee tu. Wachezaji waandamizi wenye umri na viwango kama Yondani na Tshishimbi wapo wa kutosha Simba sasa hivi wanahitjika vijana wenye umri mdogo damu inachemka kama akina Luis.
Na kwa jinsi mlivyo wajanja wajanja na msimu huu mtatafuta kichaka tu cha kuondoka na percent zenu,akina Mwina tena![emoji2]Usajili wa msimu uliopita,Simba hawakubolonga kwa bahati mbaya,ilikuwa ni mipango mkakati wa MAKUPE,kupiga faranga,ndiyo maana mkaletewa wa Latino Amerika watatu, na mkasajili zaidi ya wachezaji kumi,wakati mahitaji hakuwa kusajili lundo la wachezaji.Watu tunataka 10% za wachezaji wapya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
yondani mimate wa nini mkuu?Trust me
Wanaondoka ni
Tairone
Shamte
Mlipili
Ndemla/fraga
Dilunga kuna biashara
Wanaokuja suggestion
Shonga
Mwamnyeto
Kelvin kijiri
Yondani
Papy Shishimbi 2years contronct /tayar huyu
kama kibaka morisonNinyi hamna hela ya kununua top 3 goal score Wa timu kama pirates. Tuendelee kuulizia ulizia rejects ambao kwenye ligi yetu wataonekana bora
Big no. Rudia tena kusoma na uelewe nilichoandika. Simba kwa sasa ipo vizuri ila inahitaji wachezaji sita tu wapya:-So you are suggesting a squad overhaul right ?
Huu ndio mshahara wa shonga,mikia mtaweza kweli kumlipa mshahara huo,hapo bado sign fee!mikia muda mwingine uwa mnajitoa akili!Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba (CEO), Senzo Mazingiza amethibitisha kupokea ripoti ya kocha Sven Vanderbroeck kuhusu Usajili wa msimu ujao Katika ripoti hiyo Kocha Sven anataka wachezaji 5 wa nguvu ikiwa wawili wachezaji wa ndani na watatu wachezaji wa nje na kazi ya kutafuta wachezaji hao imeanza mara moja.
Katika ripoti hiyo Kocha Sven amesema kigezo cha umri na uwezo kitumike haswa kuchagua wachezaji hao wachezaji wanaotakiwa ni mabeki watatu ikiwa wawili wa Kati na moja wa kulia, kiungo mkabaji mmoja na mshambuliaji mmoja. Senzo amesema wameanza kubainisha wachezaji hao kabla ya kuwachuja na kufanya Usajili.
Kimsingi nafasi anazohitaji kocha zina matatizo makubwa,ukweli usemwe. Simba SC haina beki wakushiba. Simba SC ina shida ya striker wa kumsaidia Kagere Meddie.
Repoti inasema kocha anataka wachezaji wa nje watatu. Hapa ndio umakini wa kiwango cha lami unahitajika,tusifanye makosa kama tuliyofanya kwa Wabrazili. Kwa maoni yangu hao wageni wawe ni Striker mmoja msaidizi wa Kagere. Beki mmoja wa kati anahitajika sana maana upepo wa Nyoni umekwisha. Pia mgeni mmoja wa kumsaidia Shomari Kapombe.
Katika hizo nafasi 2 za local prayers napendekeza uongozi wa Simba SC wamuulike Lusajo wa Namungo na Nondo Mwamnyeto.
Kuna strikers kadhaa wa kigeni wanatajwa kufanya mazungumzo na Simba SC, mmojawapo akiwa Justin Shonga wa Orlando Pirates. Kama tetesi hizi ni kweli basi itakuwa bonge moja la usajili. Kiukweli Simba sc inahitaji wachezaji wenye speed kama Shonga.
Wapo wachezaji ambao inabidi wapewe mkono wa kwa kheri hata kama ni kwa mkopo. Mmoja wapo ni Beki wa Kati Mbrazili, Haruna Shamte, John Bocco, Saidi Ndemla, Mlipili na Nyoni. Wako baadhi bado ni wazuri ila sioni namna watakavyoweza kupata nafasi ya kucheza.
Haya ni maoni yangu binafsi. Jambo la msingi ni kuwa usajili uliopita Simba Sc iliboronga. Ni matumani tetu msimu mtatumia akili kubwa kwa sababu ya uongozi imara chini ya CEO Senzo.
Nashukuru sana kunikumbusha huyo mkoba mwenye rasta mnyama fulani mtulivu hivi anatumia nguvu panapostahili na akili panapostahili beki wa kati wa Zesco. Ila sio mimi ninayetaka kumnunua bali tu nilikuwa nawakumbusha viongozi wa Simba wanaosema kila siku wanataka timu yao iwe sawa na TP Mazembe, Alhaly, Mamelodi n.k. basi wavunje benki walete wachezaji wa aina hiyo sio kila siku kugombea na mtani wake Yanga wakina Tshishimbi, Niyonzima, Ajibu, Gadiel na Morisson.
Mkuu huyo shonga bonge la mchezaji si wakuhadithiwa bali kwa kumuona mwenyewe uwanjani, ila tatizo hizi timu za soweto pirates/chiefs zina mambo ya kihome boy sana.. ila simba wakifanikiwa kweli kumpata shonga basi itakuwa bonge la usajili.Huyo shonga ni majerui? Mbona ktk 3 za ufunguja hayupo pale Orlando?
[emoji116]
View attachment 1398396
Sent using Jamii Forums mobile app
Isijekuwa tunapigwa tena[emoji16][emoji23]
Hakuna mshahara Kama huo kwa timu za Africa, dola laki sita yaani shilling billion moja na million mia tatu, labda kwa mwaka na sio kwa mweziHuu ndio mshahara wa shonga,mikia mtaweza kweli kumlipa mshahara huo,hapo bado sign fee!mikia muda mwingine uwa mnajitoa akili!
Punguza unoko broo! Hii thread ya wanasimba, haters mnatafuta nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya wabrazil wauza matunda, msimu ujao sajilinii wahindi
Pia msisahau kusajili marefa wengine wa kuwapa magoli ya offside na penati
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yanga jersey zao hazina sport pesa? Wewe wa wapi mkuu? HahahaaaaHahahaha, wabrazili mliwasifu na clip za YouTube , mpeni GSM u main sponsor toeni sports pesa kifuani pale ,zengwe liishe