Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hao wachezaji sita wanatakiwa kuwa fringe players au first xi players ?
Unapozungumzia defence midfield simba ina defence midfielders.wa caliber zote.
Mzamiru anaweza akacheza hiyo kazi chafu ya kupokonya mipira, na anaweza kucheza kama DM na CM with a double role.
Mkude is more of a register ambaye anahitaji sana central midfielder juu yake anayecheza double role.
Eldin Shiboub is CM anayeweza kucheza double role kama Mzamiru and is more Direct kuliko Mzamiru na Mkude.
Gerson Fraga ni register kama Mkude with a very good Zone marking skills.
Bado katika midfield ya aina hiyo unahitaji midfield wa aina gani mwingine ? Kotei na Mzamiru they are players of the same caliber tofauti ni body size na Spirit ya upambanaji tu.
Kwenye Defence hapo nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji atleast one or two centre backs lakini lazima tuoffload two centre backs ni nani hao mm sijui.
Kuhusu Full back wa kulia ni upuuzi kununua Fullback mwingine kama Fringe player wakati you have Gadiel and Erasto wanaoweza kucheza Fullbacks yeyote.
Kwenye CAM attacking midfield ndiyo tunatakiwa kuongeza nguvu as replacement ya Okwi na kutokuimarika kwa Ajib but we have a player already Luis Miquesone
Kwenye safu ya Ushambuliaji atleast tukipata Mshambuliaji mmoja tayari tutakuwa vizuri na hao simba inao tayari
Salamba na Edward Gerald.
Sent using Jamii Forums mobile app

Big no. Rudia tena kusoma na uelewe nilichoandika. Simba kwa sasa ipo vizuri ila inahitaji wachezaji sita tu wapya:-
1. Beki wa kulia wa kumsaidia Kapombe huyu atoke hapa hapa bongo. Na wapo wengi sana kwenye ligi yetu
2. Mabeki wawili wa kati mmoja wa kibongo mwingine wa kimataifa.
3 Kiungo mkabaji mmoja wa kusaidiana na Mkude na Muzamiru. Huyu awe wa kimataifa na awe na kipaji cha kupokonya mipira kwa adui
4. Washambuliaji asili wawili wakusaidiana na Boko na Kagere. Mmoja awe kibongo na mmoja awe wa kimataifa na ni lazima wote wawe vijana lakini "goal machine" kuwazidi Kagere na Boko.
Sent using Jamii Forums mobile app