Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
- Thread starter
-
- #21
Nakuambia haujui mpira wewe kaa kimya Feisal kuitwa Feitoto sio hoja unajua kama BEBETO wa Brazil alikuwa anaitwa crybaby. Ujinga punguza nicknames zipo tu.Na kwa nini umekazana aondoke Yanga?Kwani hamumuhitaji?Au mnataka mgawane mafao na Simba?Halafu ameshakuwa mzee.Mambo ya kumuita Toto ndiyo nini sasa?
Abaki hukohuko kwenye bendi ya taarabu na bolingoAfu dogo mwenyewe anaonekana sio rizki kabisa. Asije akatuharibia vijana wetu wakaacha mazoezi wakipokezana kujisevia Mpalange
hatutakiNimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal.
Huyu ni mchezaji wa kiwango cha jùu sana na Simba wakimchukua huyu lazima watamuuza sio chini ya Bilioni 3 mwakani. Piga picha Simba wana Feitoti, Chama na Bwalya sijui na huyo Peter Banda. Hii timu itakuwa hatari sana.
SIMBA MCHUKUENI FEITOTO.
Halafu uwe makini na uliyekuwa unabishana naye awali na wala si mimi.Yote kwa yote,Feisal anapendeza akiwa Yanga.Nakuambia haujui mpira wewe kaa kimya Feisal kuitwa Feitoto sio hoja unajua kama BEBETO wa Brazil alikuwa anaitwa crybaby. Ujinga punguza nicknames zipo tu.
Unakula maharage ya wapi siku hizi mgosi? Wewe wa kutoa kauli kama za Jingalao kweli?Kwa kipaji cha Fei Toto, akitoka Yanga anatakiwa aende Ulaya! Na siyo kwa hao mbumbumbu wanao endeshwa kama magari mabovu na yule KUCH KUCH Hotahe wa Bombay.
Footbal haichezwi chumbani mzee! Fey hatumtaki, thamaniye hata mil500 hafikishi, hebu tufupishe maneno, kwani huko utopoloni mmemchoka? Mie cjasema hajui mpira ila anawafaa tena sana tu.Nadhani haujui mpira wewe. Unashabikia mpira bila kuujua hasa. Feitoto unaweza kusema vipi hajui mpira! Kama ulikuwa na akili nyakati za akina Hussein Marsha na Issa Athumani utajua nasema nini kuhusu Feitoto.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Kwa nini msimuuze Al Ahly kama anathamani hiyo?
Alafu waende CAS[emoji44]Mimi shabiki wa Simba,nikiondoa unazi wangu kwa Simba, kwa mtu anaejua soka Fei toto ni fundi ila kakosa timu bora ya kuchezea ukulinganisha na kiwango chake,Fei hafiki hiyo thamani ya bilioni 1,lakini ili kunusuru kiwango chake mimi pia naunga mkono Simba wamchukue ili acheze kwenye timu yenye hadhi yake.
Atamweka nani bench pale Simba? Hatuwezi kusajili mtu aje asugue bench.Nimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal.
Huyu ni mchezaji wa kiwango cha jùu sana na Simba wakimchukua huyu lazima watamuuza sio chini ya Bilioni 3 mwakani. Piga picha Simba wana Feitoti, Chama na Bwalya sijui na huyo Peter Banda. Hii timu itakuwa hatari sana.
SIMBA MCHUKUENI FEITOTO.
Naomba unitajie kiungo mzawa bora hapa nchini ukitoa hao wa nje? Feisal ni mchezaji mzuri sana tena hasa.Atamweka nani bench pale Simba? Hatuwezi kusajili mtu aje asugue bench.
Huyo anaonekana mchezaji mzuri kwasababu yupo kwenye timu mbovu.
Ndemla, Dilunga, Mzamiru hao ni baadhi tu ambao huwezi kuwalinganisha na Feisal.Naomba unitajie kiungo mzawa bora hapa nchini ukitoa hao wa nje? Feisal ni mchezaji mzuri sana tena hasa.
Sawa tumekusikia mkia kindaki ndakiSawa Fei toto wamekusikia ila simba ni timu ya wanaume sio watoto
Banda ana miaka mingapi?Sawa Fei toto wamekusikia ila simba ni timu ya wanaume sio watoto
Unaweza kuwa mdogo kiumri ila majukumu ukawa mwanaume