Usajili: Simba toeni Bilioni 1 mchukueni Feitoto

Usajili: Simba toeni Bilioni 1 mchukueni Feitoto

Na kwa nini umekazana aondoke Yanga?Kwani hamumuhitaji?Au mnataka mgawane mafao na Simba?Halafu ameshakuwa mzee.Mambo ya kumuita Toto ndiyo nini sasa?
Nakuambia haujui mpira wewe kaa kimya Feisal kuitwa Feitoto sio hoja unajua kama BEBETO wa Brazil alikuwa anaitwa crybaby. Ujinga punguza nicknames zipo tu.
 
Nimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal.

Huyu ni mchezaji wa kiwango cha jùu sana na Simba wakimchukua huyu lazima watamuuza sio chini ya Bilioni 3 mwakani. Piga picha Simba wana Feitoti, Chama na Bwalya sijui na huyo Peter Banda. Hii timu itakuwa hatari sana.

SIMBA MCHUKUENI FEITOTO.
hatutaki
 
Nakuambia haujui mpira wewe kaa kimya Feisal kuitwa Feitoto sio hoja unajua kama BEBETO wa Brazil alikuwa anaitwa crybaby. Ujinga punguza nicknames zipo tu.
Halafu uwe makini na uliyekuwa unabishana naye awali na wala si mimi.Yote kwa yote,Feisal anapendeza akiwa Yanga.
 
Mimi shabiki wa Simba,nikiondoa unazi wangu kwa Simba, kwa mtu anaejua soka Fei toto ni fundi ila kakosa timu bora ya kuchezea ukulinganisha na kiwango chake,Fei hafiki hiyo thamani ya bilioni 1,lakini ili kunusuru kiwango chake mimi pia naunga mkono Simba wamchukue ili acheze kwenye timu yenye hadhi yake.
 
Nadhani haujui mpira wewe. Unashabikia mpira bila kuujua hasa. Feitoto unaweza kusema vipi hajui mpira! Kama ulikuwa na akili nyakati za akina Hussein Marsha na Issa Athumani utajua nasema nini kuhusu Feitoto.
Footbal haichezwi chumbani mzee! Fey hatumtaki, thamaniye hata mil500 hafikishi, hebu tufupishe maneno, kwani huko utopoloni mmemchoka? Mie cjasema hajui mpira ila anawafaa tena sana tu.
 
Mimi shabiki wa Simba,nikiondoa unazi wangu kwa Simba, kwa mtu anaejua soka Fei toto ni fundi ila kakosa timu bora ya kuchezea ukulinganisha na kiwango chake,Fei hafiki hiyo thamani ya bilioni 1,lakini ili kunusuru kiwango chake mimi pia naunga mkono Simba wamchukue ili acheze kwenye timu yenye hadhi yake.
Alafu waende CAS[emoji44]

Sent from my LM-V409N using JamiiForums mobile app
 
Nimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal.

Huyu ni mchezaji wa kiwango cha jùu sana na Simba wakimchukua huyu lazima watamuuza sio chini ya Bilioni 3 mwakani. Piga picha Simba wana Feitoti, Chama na Bwalya sijui na huyo Peter Banda. Hii timu itakuwa hatari sana.

SIMBA MCHUKUENI FEITOTO.
Atamweka nani bench pale Simba? Hatuwezi kusajili mtu aje asugue bench.

Huyo anaonekana mchezaji mzuri kwasababu yupo kwenye timu mbovu.
 
Feitoto akija Simba atawiva na kuweza kuuzika nje ya nchi.

Tatizo pale Utaputapu anajifunza UBONDIA TU.

Simba angekuza kipaji chake. Na kununuliwa Nje.
 
Atamweka nani bench pale Simba? Hatuwezi kusajili mtu aje asugue bench.

Huyo anaonekana mchezaji mzuri kwasababu yupo kwenye timu mbovu.
Naomba unitajie kiungo mzawa bora hapa nchini ukitoa hao wa nje? Feisal ni mchezaji mzuri sana tena hasa.
 
Naomba unitajie kiungo mzawa bora hapa nchini ukitoa hao wa nje? Feisal ni mchezaji mzuri sana tena hasa.
Ndemla, Dilunga, Mzamiru hao ni baadhi tu ambao huwezi kuwalinganisha na Feisal.
 
Sawa Fei toto wamekusikia ila simba ni timu ya wanaume sio watoto
Sawa tumekusikia mkia kindaki ndaki

Screenshot_20210803-204624_Instagram.jpg
 
Kwa hiyo fei toto ndo umeamua uje ujipigie debe kwa simba huku jf, sawa wamekusikia najua hakuna mchezaji asiyeitaka simba Africa kwa sasa, na uzuri babra yupo humu atalifanyia kazi, ila kwa milioni 150 fei toto kidogo inaendana na kiwango chako
 
lile dili lenu la kumuuza Mazembe limefikia wapi, kwanini usiwaambie Mazembe watoe hizo pesa.Huyo mchezaji ameshawahi kuifikisha yanga wapi ili tuone thamani yake kwanza.
 
Back
Top Bottom