USAJILI TELEGRAM TATIZO, NAOMBA MSAADA.

Alafu Telegram iko bomba sana sio kama hawa WhatsApp na Sheria zao za kiboya.
Wamenipiga ban Namba 4 tofauti wakianza na reviews then ban kuchunguza sana kumbe sababu natumia Huawei
Mwenyewe WhatsApp wananipiga ban kisa natumia Huawei, alafu kuhusu telegram, adownload kwanza telegram ya kawaida, then apakue deeproxy, alafu aende deeproxy aunganishe telegram watamletea code atakamilisha usajili, then adownload mods za premium telegram iliyolipiwa kabisa kwa jamaa anaitwa apcunk huko telegram then ajisajili kwenye io pia kwa utaratibu ule ule hapo itakua rahisi tu, alafu akishamaliza ataamua abaki na zote au afute moja, angalizo app zote mbili asajilie kwa namba moja
 
USA Bifu lao wameamishia kwa wateja wa whatsapp
 
Nilishawahi kutumia deepprox na bado ikaomba kulipia.
Uhenda ulitumia proxy ya nch flan iliyoondoa hizo restrictions hata hao wa 1.1.1.1 wrap itakuwa hivyo
 
Telegram kuna shida gani wakuu, hata mimi ninapata shida ku log in tena baada ya kuifuta kwa muda flani. Please naweza vipi kurudi tena
 
Kuna nini kwani? Au mi ndio sijui matumizi ya telegram?
Huko wale wenzio wanaotombwa kibiashara ndio wanakofanyia biashara zao za kupigwa bomba mbele na nyuma, sasa hapo amekuwekea moja ya tangazo lao pendwa
 
Telegram kuna shida gani wakuu, hata mimi ninapata shida ku log in tena baada ya kuifuta kwa muda flani. Please naweza vipi kurudi tena
Nilitoka na juzi nimeingia safi kaabisa tumia VPN maana haowasenge wamepiga PIN twitter X kisha wamepiga PIN Telegram qumamae zao
 
Telegram kuna shida gani wakuu, hata mimi ninapata shida ku log in tena baada ya kuifuta kwa muda flani. Please naweza vipi kurudi tena
Ukitoka basi ubaki angalau kwenye Device yako moja ndio utarudi kirahisi ila ukifuta kwa device zote au kuanza kuregister upya lazima usumbuke nayo
 
Kuna nini kwani? Au mi ndio sijui matumizi ya telegram?
Kuna group za movies unazishusha katika ubora wake na group za tech kama Xaomi usertz, group za software na kupeana maujanja mengine.
Kuhusu Malaya wapo kote whatsapp, X twitter nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…