The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.
Yote haya chanzo Aziz Ki.