Utakuwa una matatizo binafsi.
Hiyo screenshot yako uliyoiweka kuna sehemu imesema hawezi ku improve?
Kuna sehemu yeyote iliyofunga uwezekano wa mchezaji kuweza kubadilika?
Kusoma nako shida sio?
Chukulia mfano huu
Mabingwa wa Afya wamefanya utafiti na kugundua ukiwa shabiki wa Yanga lazima uwe chizi, na usipokuwa shabiki wa Yanga hautakuwa chizi.
Sasa
Nikisema bullar ukiendelea kuwa shabiki wa Yanga utakuwa chizi, je kauli hiyo maana yake wewe utakuwa chizi miaka yote kwasababu hauta acha kushabikia Yanga ili uondokane na uchizi?
Kama utaweza kuachana na Yanga basi hapo utakuwa umeondokana na uchizi.
Kama utaendelea kuwa shabiki wa Yanga bila kuacha maana yake wewe ni chizi milele.
Ndio ilivyo kwa Azizi Ki.
Kama ataendelea na kiwango kile kile cha bahati na sibu lazima afeli, ila kama ataweza ku improve anaweza kuwa bora maradufu.