Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hivi kumbe kuna mwingine tofauti na mwasibu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona hii kengeUkitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.
Yote haya chanzo Aziz Ki.
.Hasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.
Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.
Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.