Pole sana mkuuHasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.
Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.
Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.