Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

Hasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.

Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.

Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.
Unazingua 😂😂😁
 
Hivi mfano akija Simba bado mtaendelea?
Kiongozi Kuna swali nataka kuku uliza zile movie za 123 movie mbona kwenye player ya vlc Zina nasa sana ila kwenye tv na player zingine zinakubali
 
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi.

Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.

Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi.

Yote haya chanzo Aziz Ki.
Unazingua sana
 
Hasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.

Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.

Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.
Bado ina maana yoyote hii comment yako mkuu?
 
Kiongozi Kuna swali nataka kuku uliza zile movie za 123 movie mbona kwenye player ya vlc Zina nasa sana ila kwenye tv na player zingine zinakubali
Unatumia simu au PC kupakua hizo movies?

Maana ukitumia PC kwa IDM mara nyingi format ambayo ina catch ni ts

Sasa huwenda media player yako ikawa na inapata usumbufu kwenye ku play video zenye format za ts
 
Simu kaka kumbe ila kwenye tv Zina play kama Kawa
 
Bado ina maana yoyote hii comment yako mkuu?
Sijaifuta nina maana yangu

Sisi ma time Traveller huwa hatuyumbishwi na kelele za katikati ya safari wakati tunaujua mwisho wake.
 
Haya mkuu hii nayo tunatunza.

Unahisi baada ya mayele kuondoka Aziz ameng'aa au kama unavyosema anaboronga hadi atakuja ishia Ihefu kwa mkopo
 
Unajua hiki kiwango mi sikiangalii kwa namna yenu jinsi mnavyokiangalia

Azizi Ki ilikuwa ni lazima ajitume kwa bidii zote ili kuonesha nia ya kweli kama ni kweli ataweza ku fit kwenye kikosi cha Simba kama ambavyo amekuwa akitamani

So hiki kiwango ni persuasive approach ya kumfanya Benchika aweze kufikiria ombi lake.

Na Benchika ni mjanja
 
Kwa akili yako mkuu unahisi kwanini aombe kwenda simba iliyo mbovu sasa hivi na aliikataa wakati wa usajili kipindi kile anaenda Yanga? Ukiangalia at least kipindi kile at least simba ilikuwa better kuliko ilivyo sasa
 
Simba haikumtaka ni Yanga wenyewe walikuwa wanataka kuwarubuni mashabiki kuwa alikuwa kwenye radar za Simba na nyie ndio mkam win
 
Sisi hatumtaki ila yeye mwenyewe navyo sikia anataka kuja

Kila mchezaji hapa Afrika mashariki na kati ana ndoto ya kuchezea Simba.

Hadi wachezaji wa Simba wenyewe nao wana hiyo ndoto
Unavyosikia ,
 
Back
Top Bottom