Sema Azizi K ameleta mabadiliko.Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi ...pengine Feisal asingeondoka Yanga...
Ndiyo maana mishahara hutakiwa kuwa siri kulingana na contract. Ni kweli kuwa Feisal alimwonea wivu sana Azizi Ki na ndio ulikuwa mwanzo wa matatizo yote.Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi ...pengine Feisal asingeondoka Yanga...
Hivi unajua Azam kuna mchezaji analipwa zaidi ya 40m?Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi ...pengine Feisal asingeondoka Yanga...
Hasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.Sema Azizi K ameleta mabadiliko.
Watu kulipwa vizuri sio hasara.
Mpira unapesa sana
Ubora upi wa Mayele uano uzungumzia? una ndimi mbili kama mwana CCMHasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.
Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.
Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.
Angalia data za kipindi hicho then fanya comparison kati ya Kibu na Mayele nani alikuwa bora.Ubora upi wa Mayele uano uzungumzia? una ndimi mbili kama mwana CCMView attachment 2691117
Sasa kwanini una sema Aziz Ki hawezi ku improve wakati ndio msimu wake wa kwanza, pili twakimu za Aziz Ki unaionaje mbovu kamaliza na goli 9 assist 3 ukitoa Saido nani ana hizo number kwa hio position kwenye ligi ya NBC? Wewe ni mnafikiAngalia data za kipindi hicho then fanya comparison kati ya Kibu na Mayele nani alikuwa bora.
Rejea kauli ya Rage kuhusu Madunduka hutopata tabu kabisa na mitizamo ya hawa Makolo.Sasa kwanini una sema Aziz Ki hawezi ku improve wakati ndio msimu wake wa kwanza, pili twakimu za Aziz Ki unaionaje mbovu kamaliza na goli 9 assist 3 ukitoa Saido nani ana hizo number kwa hio position kwenye ligi ya NBC? Wewe ni mnafiki
Kwanza hakuna sehemu nimesema hawezi ku improveSasa kwanini una sema Aziz Ki hawezi ku improve wakati ndio msimu wake wa kwanza, pili twakimu za Aziz Ki unaionaje mbovu kamaliza na goli 9 assist 3 ukitoa Saido nani ana hizo number kwa hio position kwenye ligi ya NBC? Wewe ni mnafiki
Mkuu usijali, tayari kupitia Mayele, Yanga imetoa darsa kuhusu namna ya kuuza wachezaji kwa faida kubwa.Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi ...pengine Feisal asingeondoka Yanga....na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi ...pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi...
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.....
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi...
Yote haya chanzo Aziz Ki...
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi ...pengine Feisal asingeondoka Yanga....na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi ...pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi...
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.....
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi...
Yote haya chanzo Aziz Ki...
Aziz Ki ameifungia magoli muhimu, moja wapo ni kuipeleka Yanga robo fainali tena ugenini Tunis .Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi ...pengine Feisal asingeondoka Yanga....na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi ...pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi...
Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz Ki analipwa million 25...kwanini Mimi nilipwe 15...hii hasara imezikumba timu zote mbili za kkooo.....
Na hata huko Azam kila atakejiona ana perform kuliko Feisal atauliza mbona Feisal mnampa hela hizi Mimi hamnipi...
Yote haya chanzo Aziz Ki...
Ki ni natural no 10,nabi formula yake no 10 anashuka sana chini tena deep kama no 6 iko ndio ki alishindwa kwenda nacho,feisal alishaini 10 ya nabi sbb ni mkabaji asilia na ndio maana unaona mudathir kwa nabi no 10 alikua kishaanza kuimudu,ki akiachiwa acheze ile 10 asilia kama anavyocheza chama pale kwenu,mtaficha sura zenu hapa,ki akipunguziwa jukumu la kuanzisha mpira toka chini hamna no 10 atakaemfikia hapa TZHasara ambayo ipo kwa Azizi Ki ni kiwango chake kutokuwa constant yani kinapanda na kushuka kama dollar.
Huyu jamaa wana Yanga wengi walishindwa kuona weakness yake kwasababu baadhi ya magepu yanayo expose ubovu wake yalikuwa filled na ubora wa Mayele.
Sasa Mayele saizi kaondoka ina maana mchizi akiendelea na kiwango kile kile cha kauka nikuvae atajikuta yupo Ihefu kwa mkopo.
Mpira wa miguu ni mchezo mgumu sana uwanjani, huitaji akili na nguvu na kipaji juu.Kwanza hakuna sehemu nimesema hawezi ku improve
Pili takwimu za Azizi Ki kuhusu magoli hazitoi tathmini ya ubora wake hususani pale unapoona magoli yaliyofungwa mostly yalikuwa ni uzembe wa kipa.
Sasa hatuwezi kuendelea kutumaini kuwa kila siku hao makipa watazidi kukosea ili ye afunge.
Wewe na Genta ni bibi na bwana unakana maneno yako umesema sasa hivi!Kwanza hakuna sehemu nimesema hawezi ku improve
Pili takwimu za Azizi Ki kuhusu magoli hazitoi tathmini ya ubora wake hususani pale unapoona magoli yaliyofungwa mostly yalikuwa ni uzembe wa kipa.
Sasa hatuwezi kuendelea kutumaini kuwa kila siku hao makipa watazidi kukosea ili ye afunge.
Natural amekuwa herbalist?Ki ni natural no 10,nabi formula yake no 10 anashuka sana chini tena deep kama no 6 iko ndio ki alishindwa kwenda nacho,feisal alishaini 10 ya nabi sbb ni mkabaji asilia na ndio maana unaona mudathir kwa nabi no 10 alikua kishaanza kuimudu,ki akiachiwa acheze ile 10 asilia kama anavyocheza chama pale kwenu,mtaficha sura zenu hapa,ki akipunguziwa jukumu la kuanzisha mpira toka chini hamna no 10 atakaemfikia hapa TZ