Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sajilini NGO ndio mtapiga pesa vizuri, kusajili Chama Cha Sasa siyo deal hata wazungu wanaofadhiri siasa wanatowa ufadhili Kwa vyama kweli vinavyofanya siasa na siyo Kwa genge la wahuni waliokosa ajira na kuamuwa kuwalaghai Watanzania.kama kichwa cha habari hapo juu , tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili..
Mm nipeni nafasi ya mtunza hazinaNchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Jikombowe wewe na familia yako kwanza halafu ndio uje kujaribu kutulaghai na sisi.Mkuu chama chetu kitakuwa mkombozi wa fikra na maendeleo ya kuweli kwa watu wote wala hatuhitaji ufadhali wa mtu yoyote baba Taifa hakuleta uhuru wa Taifa hili kwa kufadhiliwa na mtu yoyote ......
Msukuma aliyeweza kuanzisha chama na Cheyo pekee ninyi wengine mnapoteza muda, mjomba wenu dikteta hamnae tena. Katuharibia nchi na kufuta utengano ulokuwepo, amani na upendo vilipoteaNchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Kwani China na Urusi sasa hivi sasa sio capitalists? Unaishi dunia ipi? China ni wajamaa au Urusi?Mkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
Jina siyo zuri; na haiwezi kuwa "...ECONOMICAL REFORMATION...", pengine unataka kusema "ECONOMIC REFORMATION"kama kichwa cha habari hapo juu , tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili..
Ni chama kipi kinachotawala China?Kwani China na Urusi sasa hivi sasa sio capitalists? Unaishi dunia ipi? China ni wajamaa au Urusi?
Nchi pekee ya kijamaa kwa sasa ni korea ya kaskazini tu na yenyewe hasa hasa sio ya kijamaa ni ya kidikteka ya kifalme ya Ukoo wa Kim Jong Un Tajiri mkubwa pekee korea kaskazini
Ukosefu wa ajira unawapa stress mpaka wanadhani Chama Cha siasa ni kama kikundi Cha Vicoba.Hongera kwenu lakini muelewe kuwa mpaka kujenga chama Tanzania nzima inahitaji muda mwingi wa kuwekeza.
Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsa ya self-reliance ndiyo msingi wa chama chetu, utu , haki , Hakuna mzungu . myunani atakayetuletea maendeleo yetu bali sisi wenywewe , ujamaa ideolgy ambayo imejengwa katika mioyo wa wananchi inahitajikuhusishwa tena ,nakuja kama nabii wa kizazi hiki kuiokomboa Taifa hili na chama chetu cha NERDP,kuna maeneo lazima maslahi ya Taifa yazingatiwe kwa ajili ya kizazi cha leo na kizazi kichacho ,first preriority National interest .....Nchi hii itakombolewa na wananchi wenyewe pasipo chama chochote cha siasa.
Japan haina Resources zozote zaidi ya kuwa na teknolojia na imeendelea.Resouces zote wanaagiza nje.Ulichoandika porojo tupu.Ulaya na Marekani wameendelea sio sababu wana resources bali wana teknolojia. Resources zote zinatoka Afrika nkNchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo
Jina la chama ni la kijamaa Chinese Communist Party !!! lakini nchi ya kibepari iliyojaa ubepari kila konaNi chama kipi kinachotawala China?
Na hivi kweli unaelewa maana ya 'Ujamaa'?