Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsafa ya self-reliance
Huwezi kuwa self reliant wakati teknolojia huna unatumia jembe la mkono na Punda kama nguvu kazi utaishia kuwa lofa tu hata ujitume kufanya kazi kwa nguvu vipi teknolojia duni haijawahi mfanya mtu kuwa self reliant
 
Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsa ya self-reliance ndiyo msingi wa chama chetu, utu , haki , Hakuna mzungu . myunani atakayetuletea maendeleo yetu bali sisi wenywewe ,
Porojo za akina Nyerere za Miaka ya 1960 ya azimio la Arusha!!! Zilizoharibu uchumi wa nchi na kuifanya nchi kuwa maskini hadi leo !!

Mzungu na myunani ndio wenye teknolojia na mitaji mikubwa ya kuleta maendeleo usipowategemea kwa teknolojia zao utaleta maendeleo kwa kutumia uchawi au?
 
kama kichwa cha habari hapo juu , tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili..
Ashafeli mapema sana



Hiyo lugha uliyotumia
 
Wadau naomba mnielewe jambo mmoja kwamba technilogy inaweza kuwa invented huko nchi za Magharibi lakini ikatumika hapa kwetu ninachokisema mimi ni kwamba this Nation is likely not benefiting with its own resources ,,embu mtuamabie BOT ina kiasi gani cha reserve ya Gold ?????????
 
Sajilini NGO ndio mtapiga pesa vizuri, kusajili Chama Cha Sasa siyo deal hata wazungu wanaofadhiri siasa wanatowa ufadhili Kwa vyama kweli vinavyofanya siasa na siyo Kwa genge la wahuni waliokosa ajira na kuamuwa kuwalaghai Watanzania.
The so called wazungu, hawatoi ufadhili usio na faida kwao, iwe chama cha siasa au genge la wahuni kama ulivyosema. Fanya research vizuri utawaelewa.
Hakuna democracy Saudia mfano, na hamna mzungu yeyote anayefungua domo hata kuulizia kulikoni hujiulizi?
 
Mkuu embu angalia maendeleo ya china na Russia this two world superpowers ,,changanoto ya mfumo wa capitalist unanufaisha wachache , ujamaa unanufaisha jamii nzima ,
Jamii gani iliyonufaika na ujamaa hao wachina c wamesambaa dunia nzima wanaokota makopo raia wa Magharibi omewaona wapi wakiokota makopo na mavyuma mabovu aacha ujamaa ni shida tupu ndio maana tanzania tulikuwa shida tupu wakati wa Nyerere au kijana ulikuwa bado hujazaliwa.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Acheni ujinga, tumieni kiswahili.
 
Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Chama Chenu hamjui kiswahili?
 
Mleta mada chukua point..tunahitaji chama.cha kibepari huu ujamaa wa ccm ndio umeuchelewesha sana.

Uhafidhina ni sumu ka nchi hii..tuachane naya kale tuje na usasa..watu watambue maisha ni kupambana sio kulilia serikali.

Chukua point hizo fanya reform vzr kisa njoo utuelezee hizo sera zenu vyema kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanini jina ni la kipebari?
Chama kinachopinga ubepari chenye Jina la Lugha ya kibepari!! Ya kiingereza!!Eti ohh hatutaki wazungu wala nini chao tunajitosheleza kila kitu!! halafu jina tu la chama la kiingereza. Huku wanasema tunajitosheleza kila kitu je kwenye Lugha hatujitoshelezi ?kiswahili hatujitoshelezi hadi waazime kiingereza kwenye jina la chama liwe kwa kiingereza!!???

Matapeli hawa
 
Sajilini NGO ndio mtapiga pesa vizuri, kusajili Chama Cha Sasa siyo deal hata wazungu wanaofadhiri siasa wanatowa ufadhili Kwa vyama kweli vinavyofanya siasa na siyo Kwa genge la wahuni waliokosa ajira na kuamuwa kuwalaghai Watanzania.
Bora NGO
 
Wadau naomba mnielewe jambo mmoja kwamba technilogy inaweza kuwa invented huko nchi za Magharibi lakini ikatumika hapa kwetu ninachokisema mimi ni kwamba this Nation is likely not benefiting with its own resources ,,embu mtuamabie BOT ina kiasi gani cha reserve ya Gold ?????????
Useme wewe unatuuliza tena sisi
 
Tutazunguka nchi nzima kuomba unngwaji mkono tukikamilisha usajili kaeni mkao wa kula ....

Mmeona umoja party imepata taswira ya usukuma, sasa mmebuni jina jingine mkiamini mtatupoteza maboya! Na nyie mnasimamia falsafa za Magufuli au za Kikwete?

CCM ilifanikiwa kupandikiza vyama mapandikizi siku za nyuma watu wakiwa wamelala, ila sio sasa. Hicho chama kinachotaka kuanzishwa na tiss na Ccm ili kufanya siasa zinazoifurahisha CCM tuna taarifa nacho muda mrefu, hivyo msipoteze muda wenu, labda mgawane wanachama wa CCM ambao wengi ni wazee.
 
Hiki chama kitakua mbadala wa cdm,act na kina mbatia...Komaa baba kokomaa idea nzuri na ili kiwe bora zaidi kisizungumzie uongozi/viongozi waliopita,mwisho kiepuke hao jamaa wa umoja party
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Mkipata kura mia mbili nchi nzima basi nitaamini angalau mna ushawishi.
 
Lakini tuko hapa kuwaletea habari njema falsa ya self-reliance ndiyo msingi wa chama chetu, utu , haki , Hakuna mzungu . myunani atakayetuletea maendeleo yetu bali sisi wenywewe , ujamaa ideolgy ambayo imejengwa katika mioyo wa wananchi inahitajikuhusishwa tena ,nakuja kama nabii wa kizazi hiki kuiokomboa Taifa hili na chama chetu cha NERDP,kuna maeneo lazima maslahi ya Taifa yazingatiwe kwa ajili ya kizazi cha leo na kizazi kichacho ,first preriority National interest .....

Hayo maendeleo ni lazima uyalete kupitia chama cha siasa? Si muanzishe viwanda mtoe ajira ili tuone hayo maendeleo? Bado mnakuja na utapeli ule ule wa zamani?
 
Back
Top Bottom