wasakatonge forever
Member
- Jul 15, 2024
- 19
- 15
Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch , maana kwa nilivoona kwenye mechi ambazo amecheza inaonekana energy yake ishashuka kabisa, ila kwa mashabiki wenye timu yao hawawezi kukuelewa kabisa ukiwaambia ivo .
Mimi nasema tena na hapa kwenye JF , Chama atakua anaonekana kwenye zile mechi ndogo ndogo tu! ambazo hazina tention kubwa,ila kwenye big matches sion kabisaaa .
& toka lig ianze kama mnaona hali ilivo inaonekana pale jangwani kuna mambo hayapo sawa kabisa .
# football bring us together.