Usajili wa Clotus Chama kwa yanga hadi sasa hauna tija yoyote

Usajili wa Clotus Chama kwa yanga hadi sasa hauna tija yoyote

Chama analeta presha kwa Pacome na Aziz K,.

Azizi K anafanya maamuzi ya Papara sana tofauti na mwanzo,hana utulivu kabisa anapokalibia lango la team pinzani.
Tangu Chama afike Yanga Aziz K ameacha hata ile tabia ya kujifanya yeye ndo kocha pale kwenye benchi ya wachezaji
 
Back
Top Bottom