Chatta g JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 585 Reaction score 955 Sep 30, 2024 #21 Ujui futiboli
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Sep 30, 2024 #22 The Legacy said: Chama analeta presha kwa Pacome na Aziz K,. Azizi K anafanya maamuzi ya Papara sana tofauti na mwanzo,hana utulivu kabisa anapokalibia lango la team pinzani. Click to expand... Tangu Chama afike Yanga Aziz K ameacha hata ile tabia ya kujifanya yeye ndo kocha pale kwenye benchi ya wachezaji
The Legacy said: Chama analeta presha kwa Pacome na Aziz K,. Azizi K anafanya maamuzi ya Papara sana tofauti na mwanzo,hana utulivu kabisa anapokalibia lango la team pinzani. Click to expand... Tangu Chama afike Yanga Aziz K ameacha hata ile tabia ya kujifanya yeye ndo kocha pale kwenye benchi ya wachezaji
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,072 Reaction score 2,384 Jan 30, 2025 #23 Hapa tulihujumiwa.