Usajili wa Miquissone Simba ni usajili wa mihemko na kuwafurahisha mashabiki na sio usajili wa kiufundi

... unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?
Kocha anasepa muda wowote, mkisajili kwa kumsikia kocha mtaliwa. Outara na Okwa walisajiliwa kwa mapendekezo ya kocha, matokeo yake baada ya mwezi mmoja tu kocha akapata mkataba mnono akaiacha timu na wachezaji wake
 
Luis hapaswi rudishwa maana ni gharama, pili ataabudiwa

Chama hakupaswa rudishwa
 
Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.

Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?

Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.

Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo[emoji848][emoji848].

Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
Wazee wa mizoga mnahaha kweli kweli
 
pole ndugu
 
Wewe haikuhusu we tulia na moloko wenu,ila mwaka huu lazima maji muite mma.
 
Ila nadhani usajili wa mkude ndo wa kishabiki cos wote tunajua hawezi kumweka nje yoyote pale,labda mauya
 
Mkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo
Kumbe shabiki maandazi wa utopolo
 
Mkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo
Ripoti ya kocha wa simba umeiona?
 
Mimi mdau WA Simba.

NAUNGA MKONO HOJA.

Nikiandika hapa kuhusu makosa ya kiufundi yanayofanyika usajili WA Simba.

Simba Ina mabeki watatu tu WA kati.
WAPUMBAVU NA MBUMBUMBU WATAKUSHAMBULIA.
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] acheni woga. Kama nyie mmemsajili mzee Mkude tena kwa mbwembwe ndelemo , vifijo na tambo , iweje usajili wa kinda miquissone ndiyo uwe wa mihemko?

Ngoja arudi kuwanyoosha
 
Back
Top Bottom