Kocha anasepa muda wowote, mkisajili kwa kumsikia kocha mtaliwa. Outara na Okwa walisajiliwa kwa mapendekezo ya kocha, matokeo yake baada ya mwezi mmoja tu kocha akapata mkataba mnono akaiacha timu na wachezaji wake... unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na usajili wa Mkude je ni wa nini?
Hivi ukiwa uto akili huwa inaamia mgongoni au?
Inawauma wakati chama nae anasepa
Wazee wa mizoga mnahaha kweli kweliNi ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.
Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?
Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.
Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo[emoji848][emoji848].
Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
pole nduguNi ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.
Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka akapendekeza asajiliwe? Na je, Simba ina mapungufu gani kwenye eneo lake la pembeni mpaka sasa?
Wamemsajili Klamo, wanaye Banda, wanaye Onana, wanaye Kibu Denis, wanaocheza hizo nafasi wakati huo huo wamesajili mabeki 3 tu? Yaani wanajaza wachezaji kwenye nafasi moja wanasahau wanatakiwa wabalance na nafasi nyingine? Sidhani kama huu ni usajili wa kocha. Huu ni usajili wa viongozi wanaotaka kuutumia kwa maslai yao kwenye uongozi.
Miquissone mwenyewe kakaa nje ya uwanja karibia msimu mzima hajacheza mechi yoyote ya kiushindani mpaka akatemwa timu ya taifa kutokana na kutokuwa fiti, leo hii watu wanajinasibu kumsajili kwa nderemo na vifijo[emoji848][emoji848].
Kweli soka la Tanzania ni kivyetu vyetu, nimekubali!
Ukiona topolo lina act kuumia na sajili za lunyasi ujue limepanick haswaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]Toka lini TOPOLO likaumizwa na kufeli kwa SIMBA SC?
Huna akili
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kumbe shabiki maandazi wa utopoloMkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo
Kama mkude ndio mbadala wa bangala basi waandike wameumia,tutafrahi sana kucheza na mkude pale katiKumbe shabiki maandazi wa utopolo
Nyie ndo mnalipa hela,?Luis hapaswi rudishwa maana ni gharama, pili ataabudiwa
Chama hakupaswa rudishwa
Na mechi ya ngao ya jamii wamuweke mkude waoneKama mkude ndio mbadala wa bangala basi waandike wameumia,tutafrahi sana kucheza na mkude pale kati
Hawawezi hata kujaribu cos azam atawatwanga nyingi bilaNa mechi ya ngao ya jamii wamuweke mkude waone
Ripoti ya kocha wa simba umeiona?Mkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo