Usajili wa Miquissone Simba ni usajili wa mihemko na kuwafurahisha mashabiki na sio usajili wa kiufundi

Umetaja Klamo, Banda, Onana na Kibu so ni wanne. Umeshajiuliza nafasi aliyosajiliwa Mkude ina wachezaji wangapi aliowakuta?

1) Mauya
2) Sure Boy
3) Aucho
4) Mudathir
5) Yanick
6) ...
 
Kwani mchezaji asipocheza msimu mzima ndio asisajiliwe timu nyingine?
 
Sawa timu haina namba 6 ila imeruhusu magoli machache kuliko timu yenye namba 6 umejifunza nini hapo?
Acheni mpira wa kukariri namba mgongoni vijana zama zimebadilika.
 
Mkude anakwenda kuwa back up ya bangala au mauya wanaotolewa kwa mkopo usifikiri wengine wanatumia matumbo kusajili, wanasajili kwa kufata report ya kocha na si vinginevyo
Kwa hiyo kocha wa Yanga ndiye kapendekeza Mkude asajiliwe?
 
Waache tu na sajili zao za mihemko, wakati Simba atakuwa anahesabu magoli, wenzao watakuwa wanahesabu pointi.
Bila kiungo no 6 mlichapwa 2-0 na mkatulia ,no 6 wenu aliwasaidia nini cha maana? [emoji23][emoji23]
 
Kuna video, scouting nk

Acha chinga arudi

Ni mchezaji mzuri sana
 
Mimi mdau WA Simba.

NAUNGA MKONO HOJA.

Nikiandika hapa kuhusu makosa ya kiufundi yanayofanyika usajili WA Simba.

Simba Ina mabeki watatu tu WA kati.
WAPUMBAVU NA MBUMBUMBU WATAKUSHAMBULIA.
Wewe tengeneza timu usajili mabeki 6 wa kati hujazuiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…