Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu imecheza na Bingwa wa Afrika Al Ahly na kumfunga, leo iogope kucheza na Utopolo? Ebu kuwa serious kidogo.•Winga-Msuva,winga-BM3
•Number 10-Aziz Ki
•Striker-Mayele
•Mid double pivot-Aucho na Feisal
•Ubavu-Djuma Shaban,Ubavu-Lomalisa Mutambala
•Yanick Bangala na Mwamnyeto-hawa wanazima mali pale nyuma katikati
•Golini-Djugui Diarra
Kwenye ubao mrefu:Kambole,Adriano Yano,Yacouba,Moloko,Mauya,JOB,Sure Boy,Kibwana,Farid,Ibrahim Bacca
kuna timu itaogopa kuingia uwanjani
Mark my words
Timu gani hiyo unaisemea?Timu imecheza na Bingwa wa Afrika Al Ahly na kumfunga, leo iogope kucheza na Utopolo? Ebu kuwa serious kidogo.
Huu ni uuaji•Winga-Msuva,winga-BM3
•Number 10-Aziz Ki
•Striker-Mayele
•Mid double pivot-Aucho na Feisal
•Ubavu-Djuma Shaban,Ubavu-Lomalisa Mutambala
•Yanick Bangala na Mwamnyeto-hawa wanazima mali pale nyuma katikati
•Golini-Djugui Diarra
Kwenye ubao mrefu:Kambole,Adriano Yano,Yacouba,Moloko,Mauya,JOB,Sure Boy,Kibwana,Farid,Ibrahim Bacca
kuna timu itaogopa kuingia uwanjani
Mark my words
2023 anaomba kurudi Simba.MORISSON kaja kutafuta pesa bongo na ameshasoma siasa za mpira wetu zilivyo,acha akapige pesa huko.Mpira anajua yule mwamba basi tu anajichetua sometimes
MORISSON kaja kutafuta pesa bongo na ameshasoma siasa za mpira wetu zilivyo,acha akapige pesa huko.Mpira anajua yule mwamba basi tu anajichetua sometimes
Mkuu hili Jambo mwenyew linanikera San na wala sintasoma comment ya mtu ila Ni ujinga sna kuendelea kuwa na mtu Kam Morrison ktk nnchi hiiKwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana.
sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine kuamini Tanzania tabia ya mchezaji siyo kipaumbele.
Nawakubali sana South hawakutaka ushenzi huu, hawatataki hata kuwmwona akicheza na timu zao sema tu zikiwa away hawana namna.
Bongo kama ilivyo bongo ni bongo lala kwa kila kitu ndo maana hata mpira wetu ni tia maji tia maji, yanga mmeshindwa kumchukua hata mpole mkaenda kwa muhuni huyu. hata simba lilikuwa kosa kumchukua wakiwa wakijua kule alifanya ujinga
Watanzania tunatawaliwa kwa hisia na nguvu za macho kwa kelele za akina Manara,redio na waqchambuzi uchwara , mbona hakuna kelele taifa stars ifanye vizuri. Tuna penda kuweka ukweli pembeni acha tuendelee kuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Una uhakika Msuva atabaki kucheza hii ligi ?•Winga-Msuva,winga-BM3
•Number 10-Aziz Ki
•Striker-Mayele
•Mid double pivot-Aucho na Feisal
•Ubavu-Djuma Shaban,Ubavu-Lomalisa Mutambala
•Yanick Bangala na Mwamnyeto-hawa wanazima mali pale nyuma katikati
•Golini-Djugui Diarra
Kwenye ubao mrefu:Kambole,Adriano Yano,Yacouba,Moloko,Mauya,JOB,Sure Boy,Kibwana,Farid,Ibrahim Bacca
kuna timu itaogopa kuingia uwanjani
Mark my words
Hiyo hiyo!Timu gani hiyo unaisemea?