Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
I salute you kinsmen.
Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe.

Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka.

Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli.


Inasemekana jamaa walitumia vipimo halisi vya kupima umri na kumkuta na miaka hiyo tajwa, si mnajua wenzetu hawapendagi janja janja?

Sasa mzigo huo wametupiwa simba na hakika mtajutia sana.

Kocha Fadlu naye hajui amtumie vipi yaani naye kama kapagawa hivi kaletewa michezaji rundo na hajui anaitumiaje huku akiwa na makipa sita..!

Kila mara amekuwa akijutia sana kujiunga na simba na amekuwa akisema kwa watu wake wa karibu ni bora angebaki kwao sauzi ..

Sasa mpanzu amekuwa mzigo uwanjani na mazoezini.
 
Tupe umri halisi ya chama, mkude, mzize, musonda kabla ya kuja kwa mpanzu....
Kuna kipindi uto walimchukua bigirimana over 45 year, ntibazonkiza over 45 na tukawa kimya
 
Back
Top Bottom