Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Kidumuuu chama!!!

Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu.

Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati CHADEMA,

Lengo la Ndugu Msigwa limetimia Kwa sasa, kilichobaki ni kuhakikisha rafiki yake aliyepo CHADEMA anafanikiwa katika safari yake ya matumaini akiwa ndani ya chama Cha kijani.

Kwako Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah , johnthebaptist

Karibuni
 
Upendo Peneza, KAZI Yako pia ikumbukwe!
 
Namchukia sana Lissu kwa Uropokaji wake na Maneno yake ya kibaguzi.
Sasa mnatakiwa kuwa na msimamo mmoja,

Wewe useme hili, Msigwa ampongeze Lissu, sasa nani anafaidika Kwa harakati zenu?
 
Dah! Nadhani Msigwa km angelijua Lissu atakuwa mwenyekiti kamwe asingelienda Ccm
Mwanasiasa hutakiwi kuwa na hasira na kufanya maamuzi Kwa hasira bila kufanya uchanganuzi wa kutosha.

Hivi sasa anaonekana pandikizi CCM, msaliti CDM!
 
Sasa mnatakiwa kuwa na msimamo mmoja,

Wewe useme hili, Msigwa ampongeze Lissu, sasa nani anafaidika Kwa harakati zenu?
Msimamo wangu nilishasema simpendi lissu na ninamchukia kwa sababu anapenda sana ubaguzi na alimdhalilisha sana Rais wetu kwa maneno machafu ya kibaguzi na ya kumtweza . Simpendi kabisa kabisa lissu
 
Kidumuuu chama!!!

Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu.

Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati CHADEMA,

Lengo la Ndugu Msigwa limetimia Kwa sasa, kilichobaki ni kuhakikisha rafiki yake aliyepo CHADEMA anafanikiwa katika safari yake ya matumaini akiwa ndani ya chama Cha kijani.

Kwako Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah , johnthebaptist

Karibuni
Na very soon CDM itajifia kwa kukosa Pesa….. sometimes CCM huwa na strategies zenye akili sana!! Samia sahv anacheeeeka…..
 
Msimamo wangu nilishasema simpendi lissu na ninamchukia kwa sababu anapenda sana ubaguzi na alimdhalilisha sana Rais wetu kwa maneno machafu ya kibaguzi na ya kumtweza . Simpendi kabisa kabisa lissu
Sasa unapingana na Makala aliyemsajili Msigwa Ili kumsafisha njia ya ushindi Lissu unayemchukia?

Hilo unalionaje?
 
Na very soon CDM itajifia kwa kukosa Pesa….. sometimes CCM huwa na strategies zenye akili sana!! Samia sahv anacheeeeka…..
Nani anacheka?

Mbona hajatoka kumpongeza Lissu Kwa ushindi?
 
Mimi nimefurahia chama Cha kijani kusaidia ushindi wa TUNDU Lissu Kwa kumsajili Msigwa.

Ni kama tu Pharao alivyomkuza Musa na kumpa Elimu Musa Ili aje aikomboe Israel Toka utumwani.

Sasa nafurahia viongozi wa kijani kusaidia upinzani kuwa imara zaidi.

Ikiwa unazo akili za kuchanganua issues utaelewa.
 
Msimamo wangu nilishasema simpendi lissu na ninamchukia kwa sababu anapenda sana ubaguzi na alimdhalilisha sana Rais wetu kwa maneno machafu ya kibaguzi na ya kumtweza . Simpendi kabisa kabisa lissu
sasa kama wewe IQ ni ya darasa la saba ulitaka aseme wewe ni form Ii. Kisa ni kiongozi
 
Msimamo wangu nilishasema simpendi lissu na ninamchukia kwa sababu anapenda sana ubaguzi na alimdhalilisha sana Rais wetu kwa maneno machafu ya kibaguzi na ya kumtweza . Simpendi kabisa kabisa lissu
Kwani yeye anakupenda?
 
Na very soon CDM itajifia kwa kukosa Pesa….. sometimes CCM huwa na strategies zenye akili sana!! Samia sahv anacheeeeka…..
Sonona, hakuna kuhama chama hata mkishindwa.
 
Eti anaamini bila Mbowe CHADEMA itajifia Kwa kukosa pesa,

Anasahau CDM ni Taasisi, na Mbowe ni mwanadamu wa kupita tu🤔
 
chiembe pia pongezi zikufikie Kwa kusaidia ushindi wa TUNDU Lissu Kwa kuanzisha thread nyingi za kumpondea bila kujua ulikuwa unamsaidia Nabii Lissu indirect.
 
Back
Top Bottom