Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

chiembe pia pongezi zikufikie Kwa kusaidia ushindi wa TUNDU Lissu Kwa kuanzisha thread nyingi za kumpondea bila kujua ulikuwa unamsaidia Nabii Lissu indirect.
Ilikuwa lengo letu,awe Mwenyekiti ili awe kioo, kioo kinapasuka kirahisi, mwanzoni Mbowe alikuwa anaziba tusimpate kirahisi
 
Ilikuwa lengo letu,awe Mwenyekiti ili awe kioo, kioo kinapasuka kirahisi, mwanzoni Mbowe alikuwa anaziba tusimpate kirahisi
Mbona hakuna kiongozi huko kijani aliyetoka kumpongeza Lissu?

Unaonaje ukiwawakilisha Kwa kumpongeza Lissu Kwa ushindi?

Mbona wote mmehamaki?
 
Lissu amefanikiwa kusafisha chama,

Mbowe amesaidia kuunganishwa tena chama Kwa kukubali matokeo,

Aibu iwapate majirani walioingilia NDOA ya majirani isowahusu!
Wazee wa form moja 😁😁😁 ccm bure kabisa
 
Ni kweli, umeona alivo tuma kijembe kwa FAM kule X mara tu baada ya TAL kushinda.
Alipaswa kusoma upepo,

Hadi sasa, hakuna yeyote aliyetoka kumpongeza Lissu Kwa ushindi,

Sasa kujiweka mbele ni hatari kwake!!

Na Hadi sasa, Nchimbi na Makala wamefail, mabadiliko yanawahusu!
 
Back
Top Bottom