Usajili Wa Next Season

Usajili Wa Next Season

Naona washabiki wa Arsenal wako kimya kuhusiana na uuzwaji wa Hleb na Flamini ila wanashikilia bango kuuzwa kwa wachezaji wa timu nyingine....Naona kweli Arsenal players are really feeling the whole credit crunch issh.....!!! As far as Ronaldo is concerned wamuache aende tuu ameshadeliver kilichomleta Manchester United..yasije kutokea maswala ya Ronaldinho(kama mnakumbuka mwaka jana dau lake lilikuwa kubwa, lakini leo ameuzwa kwa hela ndogo).

Mbona issue za Flamini, Hleb na Ade tushaziongelea humu, kuna thread ya Adebayor peke yake hapahapa. Hata hivyo msitegemee manazi wa Gunners tuje hapa tujipige madongo wenyewe!!

Ila aliyetoa kali wiki hii ni Fergie, yani jinsi alivyokuwa akilalama kuhusu jinsi Madrid walivyokuwa wakiwachezea rough kwa ku declaire interest ya kumsaini Ronaldo publicly na hata kuanza kuzungumza naye bila ridhaa ya Man U, naye pia anafanya exactly the same thing kwa Spurs kuhusu Barbertov! Ama kweli mkuki kwa nguruwe...............
 
hata hivyo makelele umri umekwenda sana, na angeaibika tu.
m,i nampongeza kwa sababu amepisha nafasi ili vijana nao waonekane
 
Mbona issue za Flamini, Hleb na Ade tushaziongelea humu, kuna thread ya Adebayor peke yake hapahapa. Hata hivyo msitegemee manazi wa Gunners tuje hapa tujipige madongo wenyewe!!

Ila aliyetoa kali wiki hii ni Fergie, yani jinsi alivyokuwa akilalama kuhusu jinsi Madrid walivyokuwa wakiwachezea rough kwa ku declaire interest ya kumsaini Ronaldo publicly na hata kuanza kuzungumza naye bila ridhaa ya Man U, naye pia anafanya exactly the same thing kwa Spurs kuhusu Barbertov! Ama kweli mkuki kwa nguruwe...............

At least umekuwa honest about it...naona Hleb anasema Fabregas anaweza kumjoin...lol!! Kuhusu Adebayor..mngemuuza tuu kwa zile hela ambazo Milan walioffer mkatafuta replacement yake ya kueleweka....As far as Ronaldo is concerned(ushabiki pembeni), my stance is LET HIM GO!!! ameshafanya kazi iliyomleta!!!
 
ninachokiona hapa ni kuwa kati yako icadon au kocha wako sir fergie kuna mmoja ana mapungufu...kwa sababu yeye anataka jamaa abaki na wewe unasema jamaa aende tu
sasa tuyaamini ya nani?
 
ninachokiona hapa ni kuwa kati yako icadon au kocha wako sir fergie kuna mmoja ana mapungufu...kwa sababu yeye anataka jamaa abaki na wewe unasema jamaa aende tu
sasa tuyaamini ya nani?

"No Player Is Bigger Than The Club" unaijua quote hiyo? Mie naangalia kwa jicho la biashara...kwa hela wanayo-offer Madrid unafikiria tutashindwa kupata replacement yake? Akiendelea kuegesha tunaweza kumuuza kwa hasara kama walivyofanya Barca kwa Ronaldinho.
 
Kama kawaida yangu humu nani hua naingia na uoga maana sijui kama
hii threasd ni Man U ama kila mtu...Haya basi acha niongeze senti yangu kumi kuhusu Eissen....

_44852430_newesscred226.jpg

Essien has committed his long-term future to Chelsea​

Essien signs new Chelsea contract

Chelsea's Michael Essien has signed a new five-year deal - following keeper Petr Cech and defender Wayne Bridge in committing his future to the club.
The Ghana midfielder, 25, has been a major success since joining Chelsea from Lyon for £24m in 2005.

He said: "I am very happy here. We have a great team and fantastic fans who have always made me welcome.

"With the addition of the new manager Luiz Felipe Scolari, I am feeling very positive about the season ahead."

The deal means that Essien is contracted to Chelsea until 2013. It was revealed on Monday that Cech had signed a five-year deal with the Blues, while Bridge put pen to paper on a new four-year contract last week.
Scolari, who has had to endure much speculation about the future of midfielder Frank Lampard since taking over as Chelsea manager this month, is delighted that Essien has pledged his future to the London club.

"I have not been here long but it is clear to me that Michael Essien is one of the best midfield players in the world," stated the former Portugal boss.

"I have always admired him and it is good news for me and for Chelsea that he signs for so long

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/teams/c/chelsea/7518955.stm
 
jamaa atawasaidia sana, hilo alilofanya ni jambo la msingi kwake na klabu yake.
ni moja kati ya wachezaji wanayoipenda timu, na wanapambana kufa na kupona kuhakikisha chelsea wanapata ushindi...hongereni chelsea
 
Serie A ( Italy )

AC Milan wanatayarisha kitita cha paundi 30 milioni kwa golikipa Petr Cech wa Chelsea.

La Liga ( Spain )

Beki wa Man United Gerard Pique amemalizia masuala ya mkataba (personal terms) na Barcelona.

Pia Barcelona wanataka kuwapa AC Milan Ronadilno na Deco pamoja na kitita cha Paundi 16 milioni kwa kubadilishana na Kaka.

Sources: Gazetta Dello Sport, El Mundo Deportivo and Corriere dello Sport.

....Petr Cech jana amesaini mkataba wa 5 years kubaki na Chelsea na Deco is already in Chelsea...
 
Chelsia itatisha msimu huu wajameni.....

Chelsea make £19.7m Robinho bid

Robinho played a key role as Real won the Spanish title last season
Chelsea have made a £19.7m bid for Real Madrid's Brazilian striker Robinho, BBC Sport understands.

In a statement on their website, Chelsea confirmed they have made an offer for Robinho, although they did not reveal the size of their bid.

The 24-year-old former Santos star played a key role in helping Real secure the Spanish title last season.

bbc sports
 
Done deals...

Fulham sign Johnson from Everton

England striker Andrew Johnson has completed his move from Everton to Premier League rivals Fulham for an undisclosed fee.
The 27-year-old has signed a four-year deal that is set to keep him at the club until at least the summer of 2012.

Aston Villa sign Shorey and Young

Aston Villa have completed the signings of Reading left-back Nicky Shorey and Middlesbrough right-back Luke Young. Both players are England internationals and will provide a major boost to Villa's defensive options.

bbc sports
 
Mark Hughes has told Sky Sports News that Spurs have accepted Manchester City's shock bid for Dimitar Berbatov.
skysports.com.

Hii deal ikifanikiwa itakuwa bonge la changa la macho kwa mashetani wekundu, yani ni sawa na demu umemsotea kichizi, kila siku anakuyeyusha afu mara adui yako mkubwa anaibuka naye kiwanja! I doubt it though kama atakubali kwenda City as he wants to play in the champions league, lets wait and see, tic, tac,tic.......
 
Kuna taarifa kuwa Man City imeuzwa kwa jamaa wa Abu Dhabi Group for Development ana Investment(ADUG) na itakuwa chini ya Dr.Sulaiman Al Fahim.Jamaa wa Abu Dhabi wako tayari kulipa paundi million 30 zinazotkiwa na Spurs...kazi ipo
 
Dimitar Berbatov is holding talks with Man Utd, hawezi kwenda Man city jamaa anataka cheza in top club na CL...

Mark Hughes has told Sky Sports News that Spurs have accepted Manchester City's shock bid for Dimitar Berbatov.
skysports.com.

Hii deal ikifanikiwa itakuwa bonge la changa la macho kwa mashetani wekundu, yani ni sawa na demu umemsotea kichizi, kila siku anakuyeyusha afu mara adui yako mkubwa anaibuka naye kiwanja! I doubt it though kama atakubali kwenda City as he wants to play in the champions league, lets wait and see, tic, tac,tic.......
 
[QUOTE=Ushirombo;277853]Dimitar Berbatov is holding talks with Man Utd, hawezi kwenda Man city jamaa anataka cheza in top club na CL...[/QUOTE]

United wameongea muda woote wameshindwa kutoa Dau, walitegemea ujanja wa kizamani subiri mpaka dakika ya mwisho! Bahati mbaya kwao mtani wao kashinda lottery na anaongea lugha ya kueleweka,Kwanza Spurs hivi sasa wanataka 30million isipungue shilingi na pili Dau aloahidiwa Berba City sio rahisi united kutoa £150,000 kwa wiki!!! To me it looks Berba is heading only to eastlands and not old trafford.
 
I think, come midnight, Berbatov atakuwa mchezaji wa United na siyo City, United hiyo hela wanayo ila walikuwa wanaskilizia tu ili wampate kwa bei ubwete, wana uwezo wa kumatch au kuipiku kila offer ya City na naamini kabisa watakuwa tayari kufanya hivyo kwa kuwa at the moment hawana striker!
 
Everton have completed the signing of Louis Saha after the Frenchman successfully passed a medical.
skysports.com
 
Yani atoke Spurs aende Man City akiwa kwenye prime time...hehe hiyo sijui tutaita ni mchemsho wa aina gani....Thaksin naona mambo yamemuendea ndivyo sivyo kaamua kuachia ngazi.
 
Habari nyingine nzio ni kwamba waarabu wameanza kufanya mabo huko Manchester City, Madrid wameamua kumuuza Robinho kwao na kuwatosa Chelsea!
 
Nimefanikiwa pia kumuona Berbatov akiwa ndani ya Trafford na kupitia sky tv akishikana mikono na David Gill,its a done deal! na naskia gwanda namba 9 alilokuwa akivaa Saha ndo linakimbizwa kiwandani saa hizi!
 
Back
Top Bottom