Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
- Thread starter
- #61
Naona washabiki wa Arsenal wako kimya kuhusiana na uuzwaji wa Hleb na Flamini ila wanashikilia bango kuuzwa kwa wachezaji wa timu nyingine....Naona kweli Arsenal players are really feeling the whole credit crunch issh.....!!! As far as Ronaldo is concerned wamuache aende tuu ameshadeliver kilichomleta Manchester United..yasije kutokea maswala ya Ronaldinho(kama mnakumbuka mwaka jana dau lake lilikuwa kubwa, lakini leo ameuzwa kwa hela ndogo).
Mbona issue za Flamini, Hleb na Ade tushaziongelea humu, kuna thread ya Adebayor peke yake hapahapa. Hata hivyo msitegemee manazi wa Gunners tuje hapa tujipige madongo wenyewe!!
Ila aliyetoa kali wiki hii ni Fergie, yani jinsi alivyokuwa akilalama kuhusu jinsi Madrid walivyokuwa wakiwachezea rough kwa ku declaire interest ya kumsaini Ronaldo publicly na hata kuanza kuzungumza naye bila ridhaa ya Man U, naye pia anafanya exactly the same thing kwa Spurs kuhusu Barbertov! Ama kweli mkuki kwa nguruwe...............