Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.Namaanisha kwenye mshono kweli.
Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.
Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.
Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.
Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta bange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na wasiojielewa?!
Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Ha ha hii comment inasadifu kichwa cha uzi pole mkuu, ndiyo utofauti huo wa Timu ya kimataifa na wanaoigiza huku wakiwa na kelele nyingiTutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Kama unaona Okrah kuitwa timu ya taifa na mwenzie toka ligi yao ya ndani ni mipasho, basi Morisson kutokuitwa ndio fact kwako!.Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Yes, maumivu ya kwenye mshono hayo, ndio maana nimeshauri wapewe siku tatu wakusanye nguvu tusiwatoe damu!Ha ha hii comment inasadifu kichwa cha uzi pole mkuu, ndiyo utofauti huo wa Timu ya kimataifa na wanaoigiza huku wakiwa na kelele nyingi
Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Huo upole unatupa wewe,hamna hata mchezaji wa kufanya tuwe wapole pale,nyie endeleeni kujifariji ndio wakati wenu huu,sie hatuna habari tunawasikilizia msuva na aziz ki wetuMmekuwa wapole kwani mmenyeshewa na mvua leo?!
Nguvu moja...💪💪💪Ndio ushabiki huo... 😂 😂
Nasubiri msimu uanze, huku sakho, huku okrah, hapa chama.. Juu phiri, Kakosekana tu kiungo mnyumbulifu pale, wa kupiga pasi nyingi za mbele, akiona vipi anapasua mwenyewe(kama bwalya)
Sikutegemea na wewe kufikia levo ya umbumbumbu kiasi hiki .Qatar gani alikokiwasha ya Buza au ? hujui kuwa huenda hata asipate nafasi ya kuitwa tena timu ya Taifa baada ya kuja ukoloni vilevile mchezaji anaweza akaitwa timu ya Taifa mechi moja au mbili halafu akapigwa pini ?Ghana hiyo hiyo ambayo morisson anatokea ndio Ghana hiyo hiyo ambayo Simba wamesajili mshambuliaji ambaye anakiwasha QATAR
Viongozi wao wanawajua kwamba wao wakiona Cv wanaridhika ndio maana wakaletewa Pablo kutokea Real Madrid ya Buza.Tutawafungulia bendi ya taarab muwe mnatuimbia humu jukwaani. Maana muda wote mmekalia vijembe na mipasho tu.
Wacha ramli, usimuonee wivu mwenzio, mbona Morisson hata kuitwa hiyo mara moja tu bado..!!Sikutegemea na wewe kufikia levo ya umbumbumbu kiasi hiki .Qatar gani alikokiwasha ya Buza au ? hujui kuwa huenda hata asipate nafasi ya kuitwa tena timu ya Taifa baada ya kuja ukoloni vilevile mchezaji anaweza akaitwa timu ya Taifa mechi moja au mbili halafu akapigwa pini ?
Nafasi yake ya kuitwa tena labda akiwashe kwa kiwango kikubwa tena Simba kwani hapa ni bongo mchezaji anaweza kuja na Cv kubwa mwisho wa siku akachemsha vibaya .
CV ipi hiyo?!Viongozi wao wanawajua kwamba wao wakiona Cv wanaridhika ndio maana wakaletewa Pablo kutokea Real Madrid ya Buza.
Mtangazaji akitangaza kwa Kwa kiswahili ni mwendo wa joisiiiiii, anapisha pale.Wiki yote hii Nilikuwa zangu kijijini huko network haikamati kbs,ndy nimerudi leo.
Nasikia yanga tumemsajiri mchezaji anaitwa Joyce,ya kweli haya??
Viongozi wao wanawajua kwamba wao wakiona Cv wanaridhika ndio maana wakaletewa Pablo kutokea Real Madrid ya Buza.