Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Mimi Nakwambia Hivi Sisi Tukifungwa Na Nyie Kwenye Mechi Yoyote ile Msimu Ujao Popote Utakapoona Comment Au Post Yangu Hapa JF Niite Mbwaa *****.
Halafu siku ikifika ukiitwa uanze kulia kwa mods!
 
Mpira Sio tako kama lako!!
Mnasajili Kambale mwenye magoli 2 kwenye mechi 40, wenzenu tuna Okrah mwenye magoli kibao ya kideoni.

Huyo Kambale wenu kamtupieni majini ndio uwanja wake wa kujidai!.
 
Na hii tabia yao ya kusajili bila kupima afya.. ohoooo.!!!
tehe,,,tehe[emoji116]
IMG-20220713-WA0037.jpg
 
Co pimbi tu huyu ni nguchiro pia
Hapa umeandika chini ya kiwango

Mchezaji anasajiliwa kwa kuangalia recently records ambazo mtu yeyote anaweza kujihakikishia kujua kama hizo sifa anastahili au la

Hata wewe unaweza kufatilia katika database ukaona kweli hao wachezaji wana huo ubora ambao Simba wameusema, sasa Kusema viongozi wanasajili kwa kuangalia CV huo ni zaidi ya upimbi
 
Namaanisha kwenye mshono kweli.

Hii ni baada ya kutangaza usajili wa winga/kiungo mshambuliaji Augustine Okrah.

Huyu jamaa nilijua yupo kwenye timu ya taifa ya Ghana, lakini sikujua kumbe kutoka kwenye ligi ya ndani [ligi kuu ya Ghana], jamaa ametoboa kwenye kikosi na mwenzie mmoja pekee.

Hivi uto mnanielewa?

Namaanisha, kutoka ligi kuu ya Ghana, wachezaji waliofanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu yao ya taifa ni Okrah na mwenzie mmoja, wengine wote wametoka nje ya nchi.

Sasa hapa utamlinganisha Okrah na nani? yule mvuta mabange anayelilia kuitwa timu ya taifa ya kwao lakini haitwi? au wale wazee waliokuwa rejected Congo, Angola, na Ulaya ambao tunapigiwa kelele kila siku za kuwasifia na nyie msiojielewa?!

Kwa hili teke la chini ya mkanda walilopiga Simba SC leo kwenye usajili, nawashauri watoe siku tatu za mapumziko kwa utopolo mpaka watakapopata nafuu ndio watangaze kifaa kingine, uto wasije kutoka damu buree..
Ni watu wa mpira tu ndiyo wataelewa wale shabiki oyaoya hawaoni ndani
 
Muaka 28 anajiandaa kwend
Simba inachukua vyuma vinavyojiandaa kwenda ulaya, wakati jamaa zetu wanachukua waliotoka huko miaka 20 iliyopita!.

Hapo kwenye kupasua ngoja tuone kiungo atakaefuata kusajiliwa, lakini hata kwa kiungo mkabaji aliyetoka Coastal jamaa ana nguvu na mapafu, goli moja assist 3.
Miaka 28 anajiandaa kwenda wapi?
 
Back
Top Bottom