Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Usajili wa Okrah: Simba SC leo wamepiga kwenye mshono haswa

Simba inachukua vyuma vinavyojiandaa kwenda ulaya, wakati jamaa zetu wanachukua waliotoka huko miaka 20 iliyopita!.

Hapo kwenye kupasua ngoja tuone kiungo atakaefuata kusajiliwa, lakini hata kwa kiungo mkabaji aliyetoka Coastal jamaa ana nguvu na mapafu, goli moja assist 3.
Tunasubiria drama zenu kama hizi za mwanzo wa msimu tuanze kucheka 🤣
 
Hapo ndipo inapofikia hatua kulaumu JF kwanini hakuna option ya kufuta uzi. Muda ni mwalimu mzuri sana aisee. Huu uzi watu wa Simba walishusha mashombo humo hatari na hakuna hata aliyeweka akiba ya maneno
 
Ngoja nifukuwe hili kaburi, nyenyenye kiko wapi sasa?
Okrah nae ni binadamu, sometimes yes ... sometimes NO, ndicho kilichomkuta Simba SC.

Hata mpira wa ulaya kuna wachezaji wengi wazuri waliosajiliwa timu nyingine wakashindwa ku perform.

Unaonekana bado kipofu wa footballing game, mifano kama Fernando Torres akiwa Chelsea, hakufanana na yule wa Liverpool, Eden Hazard akiwa Chelsea, hafanani na wa R. Madrid, mifano ni mingi...

Hope umefunguka akili kidogo utopolo, na mwaka huu ndio balaa mnalo, ipo mfukoni bilioni 5 ya CAF Super League kwa ajili ya kuwanyoosha kwenye usajili.

Nimemaliza.
 
Tunasubiria drama zenu kama hizi za mwanzo wa msimu tuanze kucheka [emoji1787]
Utopolo wenyewe mlikuwa mnasajili kikosi kizima kwa kelele msimu ukiisha mnakiacha, msimu unaofuata mnasajili tena kikosi kizima... inaonekana mna kumbukumbu fupi sana.
 
Mbumbumbu Pro Max na Mambumbumbu wenzako tisa wakakupa likes.
Wewe ndie zuzu kweli, nani aliyekwambia mchezaji akishiriki kombe la dunia hawezi kushuka kiwango?

Vyura mna matatizo sana.
 
Okrah nae ni binadamu, sometimes yes ... sometimes NO, ndicho kilichomkuta Simba SC.

Hata mpira wa ulaya kuna wachezaji wengi wazuri waliosajiliwa timu nyingine wakashindwa ku perform.

Unaonekana bado kipofu wa footballing game, mifano kama Fernando Torres akiwa Chelsea, hakufanana na yule wa Liverpool, Eden Hazard akiwa Chelsea, hafanani na wa R. Madrid, mifano ni mingi...

Hope umefunguka akili kidogo utopolo, na mwaka huu ndio balaa mnalo, ipo mfukoni bilioni 5 ya Super League kwa ajili ya kuwanyoosha kwenye usajili.

Nimemaliza.
Haya tuletee ngano za usajili za msimu mpya huu.
 
Back
Top Bottom