Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
usajili mzuri ilitakiwa asajiliwe nani?Usajili mbovuuu,Tumeanza kuokoteza.Tumeishiwa mbinuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usajili mzuri ilitakiwa asajiliwe nani?Usajili mbovuuu,Tumeanza kuokoteza.Tumeishiwa mbinuu
Kufuatilia mpira ni utumwa mwingine dunianiLeo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Yanga wameishaanza kumroga hadi BenchkahKama vile kuna kaukweli!! Yanga hawaaminiki.
Unaweza kuthibitisha hili au ni nadharia tu?Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Kumbe hadi kuonekana kuzeeka wanachezewa mchezo mchafu..!!! Kwamba siyo umri..!!Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Una uhakika hao matajiri na waliochukua world cup sio wachawi?IMANI ZA USHIRIKINA NI IMANI ZA WAJINGA NA WAPUMBAVU.
uchawi ungekuwa na nguvu Africa tungetwaa kombe la dunia.. na wachawi ndio wangekuwa marais na matajiri wakubwa
Chama hapana kwa kweli tayari ashaisha na namba anayocheza tuna aziz ki, pacome na max wanaimuduSawa wewe fikiria okrah,phiri na chama wanatua jangwani.
Ukiangalia upande wa pili mifarakano kila kukicha.
Yaani hii unaambiwa bado hamjahaha na mpaka mhaheee.
Simba wapata mhaho wahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Alisemea wapi hilo? Acha kumlisha maneno na kumchonganisha.Ibrahim ajibu alishasema bila kuondoka boko simba wachezaji wote watapata tabu ku shine simba yule ni noma
Una uhakika hao matajiri na waliochukua world cup sio wachawi?
Na kwa bahati mbaya,wanaofanya hayo ,wanawasingizia akina Bocco na watu wengine ndani ya timu ili tuzidi kupambana wenyewe kwa wenyewe.
Wao wapo kuchochea ugomvi.
Naamini Okra,Phiri wataifanya yanga izidi kutisha sana.
Hii Simba haina viongozi,hawa waliopo Simba imekuwa kubwa sana kwao.
Wanapaswa kujua hilo
Ni mashabiki wa Simba ndio huwa wanapitia milango isiyo rasmi kwenye baadhi ya mechi zao au ni Ile timu ya mitaa ya Twiga na Jangwani?Kwanini mashabiki wa Simba mnaamini sana ktk ushirikina?
Sasa mambo ya dini na vitabu vyake huviamini, leo utaamini uwepo wa uchawi?Hivi uchawi kweli unanguvu? Upo?
Wamesahau Hamis Tambwe aliwafanyia nini baada ya kumtema.Bado hujasema..!!! Yaani hapo bado, we subiri aanze kuwalamba ndo mtasema na kuanza kulaumu kwanini walimwacha aondoke..!!
Wenzenu tunafanya mambo ki-profeshenooo..!!! Nyie mkamuingiza FEI cha kike hadi leo hana la maana alilopata..!!
Self protection is the bestLeo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Huyu anaiga ili kujipandisha chart. Alivyoona Gentamycine anashine Kwa nyuzi za kishirikina zisizo na uthibitisho na yeye akaunga.Sawa kaka ila huyu jamaa amezidi asee, pamoja na LIKUD na GENTAMYCINE
Ibrahim ajibu alishasema bila kuondoka boko simba wachezaji wote watapata tabu ku shine simba yule ni noma