Usajili wa Okrah Yanga ni ushahidi tosha kuwa wachezaji wa Simba wanapigwa spana

Huyo mchezaji huko anapokwenda hajacheza mechi yoyote kuona perfomance yake unaanza kusema alikuwa anarogwa! ina maana mchezaji akisajiliwa Yanga ndiyo uthibitisho kuwa ni mchezaji bora au inakuwa vipi mbona walisajili wachezaji wengi lakini baadaye kuna wachezaji waliona kabisa walikosea na wanataka kuwaacha? Tusubiri tuone kwanza ndiyo muanze kubweka.
 
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.

Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.

Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?

Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Kufuatilia mpira ni utumwa mwingine duniani
 
Unaweza kuthibitisha hili au ni nadharia tu?
 
Kumbe hadi kuonekana kuzeeka wanachezewa mchezo mchafu..!!! Kwamba siyo umri..!!
 
IMANI ZA USHIRIKINA NI IMANI ZA WAJINGA NA WAPUMBAVU.

uchawi ungekuwa na nguvu Africa tungetwaa kombe la dunia.. na wachawi ndio wangekuwa marais na matajiri wakubwa
Una uhakika hao matajiri na waliochukua world cup sio wachawi?
 
Sawa wewe fikiria okrah,phiri na chama wanatua jangwani.

Ukiangalia upande wa pili mifarakano kila kukicha.

Yaani hii unaambiwa bado hamjahaha na mpaka mhaheee.

Simba wapata mhaho wahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Chama hapana kwa kweli tayari ashaisha na namba anayocheza tuna aziz ki, pacome na max wanaimudu
 
Una uhakika hao matajiri na waliochukua world cup sio wachawi?

1. Mpumbavu sana wewe ndio maana hupati ajira.

Je Argentina na Messi wamechukua world cup sababu ya uchawi ?

kama rahisi hivyo mbona Hatujachukua nchi yoyote ya AFRICA ikiwemo na Tanzania ?

Je Bill gate ni tajiri sababu ya uchawi ?

Je Mo na Bakhressa ni matajiri sababu ya uchawi ?

IMANI ZA KISHIRIKINA NI IMANI ZA WAJINGA NA WAPUMBAVU
 
Na kwa bahati mbaya,wanaofanya hayo ,wanawasingizia akina Bocco na watu wengine ndani ya timu ili tuzidi kupambana wenyewe kwa wenyewe.
Wao wapo kuchochea ugomvi.
Naamini Okra,Phiri wataifanya yanga izidi kutisha sana.
Hii Simba haina viongozi,hawa waliopo Simba imekuwa kubwa sana kwao.
Wanapaswa kujua hilo

Hivi uchawi kweli unanguvu? Upo?
 
Bado hujasema..!!! Yaani hapo bado, we subiri aanze kuwalamba ndo mtasema na kuanza kulaumu kwanini walimwacha aondoke..!!

Wenzenu tunafanya mambo ki-profeshenooo..!!! Nyie mkamuingiza FEI cha kike hadi leo hana la maana alilopata..!!
Wamesahau Hamis Tambwe aliwafanyia nini baada ya kumtema.
 
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.

Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.

Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?

Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Self protection is the best
 
Ni upumbavu tu wa viongozi wangu wa Simba.Okra hajawahi kufanya vibaya ni kwa vile tu hakuwa anapangwa kucheza.
 
Ibrahim ajibu alishasema bila kuondoka boko simba wachezaji wote watapata tabu ku shine simba yule ni noma

Na Viongozi wanamuabudu na kumsujudia. Ngoja awamalize, maana mjinha hajielewi.
 
Back
Top Bottom