Usajili wa Umoja Party unakawia kwa sababu Polepole kahamia Malawi?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
20220430_203951.jpg
sponsor wa chama Yuko ughaibuni, alitumia posho za ubunge kukianzisha, hajamaliza, kahamishwa, ubalozi milioni 5 kwa mwezi
 
Nimemsikia Balozi Polepole alipokuwa kaenda Zanzibar kupokea maelekezo kutoka kwa Mh Rais Mwinyi jr. Jamaa ana misheni mahususi ya kuintegrate blue economy ZNZ na ile ya Malawi ya Ziwa Nyasa khalafu dagaa wa Zenji wawe exported kwenda Congo DRC.
 
Ndg zangu kila kitu kinaenda vizuri, ondoeni wasiwasi chama kina watu wengi wanaojielewa na wazito, msimsikilize mtu asiye na uelewa wa chama hiki kinachokuja kubadilisha mustakabali wa taifa hili.

Kuna mtu anatajwa hapo sijui Polepole huyu hajawahi kuwa mmoja wetu ila tuligemea na bado tunategemea kumpa nafasi kuwa mmoja wa wanachama wetu wa mwanzo.

Ndg zangu Watanzania naendelea kuwaomba muendelee kutupa ushirikiano na tuwe na subra.
 
Chama kinachotumua Swastika na picha ya Adolf Hitler hakina nafasi tutakidenazify kabla hakijazaliwa rasmi.
 
Wapumbavu wakubwa nyie washabiki wa maagufuli

Sasa Kuna chama gani kinaweza kuwa na mwanachama kama wewe asiyekubali uhuru wa wengine? Na mtu anayetukana marehemu. Utakuwa marehemu kichwani na mwilini. Ndo mana huna Aibu kuzungumzia Wenzako huko kuzimuni.
 
Kwani mbona najua we ni mmoja wa wanaumoja party?
Hahahaha hawamini kilichowatokea wanaruka na kukanyagana.... sheeeeeez.
Hatutaki raisi muua watu na kupora wakulima korosho zao. Anajidai mzalendo wakati aliuza nyumba za umma kwa hawala zake kina kajala wa kebys?
Akalale mcbeal KUZIMU HUKO
 
Umoja Party ni ya wazanzibar. Kuna siku walikuja Butiama wakitafuta kuungwa mkono. Hivyo wakatafuta watu wenye ushawishi ili waweze kuwatafutia wanachama.

Nikauliza dhumuni la chama chao. Wakadai ni kuunganisha Zanzibar na Tanzania bara kuwa na chama kimoja chenye nguvu.

Hawa jamaa sina imani nao kabisa. Itakuwa ni wababaishaji tu kama ilivyo NCCR na TLP. Wapinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA

Naona Zanzibar CUF imeshakufa, ACT-WAZALENDO inaenda kufa kinaibuka chama cha Umoja Party.
 
Nimemsikia Balozi Polepole alipokuwa kaenda Zanzibar kupokea maelekezo kutoka kwa Mh Rais Mwinyi jr. Jamaa ana misheni mahususi ya kuintegrate blue economy ZNZ na ile ya Malawi ya Ziwa Nyasa khalafu dagaa wa Zenji wawe exported kwenda Congo DRC.
Hiki kijamaa very intelligent. Yaani kika unapokipiga teke ndio unakiongezea mwendo. Haya bara walidhani wamemfuta kaenda kutengeneza combination na Mwinyi. Imagine soko la dagaa likifanya vizuri je maza atachukia na kumuhamishia ubalozi sehemu nyingine.? Je kitendo cha kumuhamisha si ni kama atakuwa kajichongea kwa wazenji ambako ndio kwao na anatafuta jina kwa sasa?
Lakini je soko likifanikiwa si itamfanya Polepole awe popular zenji kuliko yeye, je maza atastahimili. Ngoja tuone. Penye Mungu binadamu haweki mkono.
 
Ndg zangu kila kitu kinaenda vizuri, ondoeni wasiwasi chama kina watu wengi wanaojielewa na wazito, msimsikilize mtu asiye na uelewa wa chama hiki kinachokuja kubadilisha mustakabali wa taifa hili.

Kuna mtu anatajwa hapo sijui Polepole huyu hajawahi kuwa mmoja wetu ila tuligemea na bado tunategemea kumpa nafasi kuwa mmoja wa wanachama wetu wa mwanzo.

Ndg zangu Watanzania naendelea kuwaomba muendelee kutupa ushirikiano na tuwe na subra.
Wazito tena? Ngoja sisi wepesi tuendelee kuwazoom
 
Ndg zangu kila kitu kinaenda vizuri, ondoeni wasiwasi chama kina watu wengi wanaojielewa na wazito, msimsikilize mtu asiye na uelewa wa chama hiki kinachokuja kubadilisha mustakabali wa taifa hili.

Kuna mtu anatajwa hapo sijui Polepole huyu hajawahi kuwa mmoja wetu ila tuligemea na bado tunategemea kumpa nafasi kuwa mmoja wa wanachama wetu wa mwanzo.

Ndg zangu Watanzania naendelea kuwaomba muendelee kutupa ushirikiano na tuwe na subra.
Sukuma gang mtapata tabu sana. Mimi nawashauri mu base sana kwa wanyonge kama mwendazake maana wanyonge ndiyo rahisi kuwadanganya na wako wengi.
 
Nimemsikia Balozi Polepole alipokuwa kaenda Zanzibar kupokea maelekezo kutoka kwa Mh Rais Mwinyi jr. Jamaa ana misheni mahususi ya kuintegrate blue economy ZNZ na ile ya Malawi ya Ziwa Nyasa khalafu dagaa wa Zenji wawe exported kwenda Congo DRC.
Ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom