Hiki kijamaa very intelligent. Yaani kika unapokipiga teke ndio unakiongezea mwendo. Haya bara walidhani wamemfuta kaenda kutengeneza combination na Mwinyi. Imagine soko la dagaa likifanya vizuri je maza atachukia na kumuhamishia ubalozi sehemu nyingine.? Je kitendo cha kumuhamisha si ni kama atakuwa kajichongea kwa wazenji ambako ndio kwao na anatafuta jina kwa sasa?
Lakini je soko likifanikiwa si itamfanya Polepole awe popular zenji kuliko yeye, je maza atastahimili. Ngoja tuone. Penye Mungu binadamu haweki mkono.