Usajili wa Umoja Party unakawia kwa sababu Polepole kahamia Malawi?

"msema kweli ni mpenzi wa Mungu" leo kafyekelewa mbali sababu ya uovu wake.
 
Sukuma gang mtapata tabu sana. Mimi nawashauri mu base sana kwa wanyonge kama mwendazake maana wanyonge ndiyo rahisi kuwadanganya na wako wengi.
Hatuna mlengo wa kuegemea hiki ni chama cha kila Mtanzania mwenye nia ya kubadilisha mfumo na kuijenga Tanzania mpya ile unayoitizama ndotoni.

Ondoa fikra ya matabaka kuifurahia nchi yako.
 
Nachoshindwa kuelewa ni kuona watu wanahusisha masuala ya nchi na ukabila, mbona kama Taifa tulishatoka huko miaka mingi?,
Uwepo wa vyama tofauti katika nchi huchangia sana maendeleo zaidi ya vile watu tunadhani. Ebu ifike wakati tuache kuhusisha masuala ya kitaifa tuki ACT kama ni usimba na uyanga.
Ebu turuhusu kuwepo kwa vyama vingine vyenye ideology tofauti huenda ikawa ni chachu ya kulisaidia taifa kutoka hapa lilipo.
Yaani Taifa linazidi kuzorota kila siku wakati huohuo hatuachi kujinadi kuwa Mungu katubariki kila kitu Tanzania.
GOD BLESS AFRICA & now focus on TANZANIA. Ameeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…