Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Hiyo kauli mbiu ya IMOoooo ndo imeniacha hoi
 
kuna mwimbaji anaitwa kadja nitto namkubali sana, nashangaa hawampi promo, huyu dada anaimba nyimbo nzur sana
 
muheshimu maua hakuna msanii wa kike mwenye uwezo kama maua show zake ni classic yeye ni live band ndio msanii ninayenda show zake
Na iyo live band anaimba nyimbo zake 2 tu.
Nyingine zote copy.
 
Hivi ni vigezo gani vimewafanya mmpe Ommy dimpoz show?
 
Daah wasanii wa bongo fleva sijui lini watazinduka na kujua thamani yao hizi ni dharau
 

Endelea kutokuelewa,wapi pameandikwa wanafanyiwa usahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…