Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Hiyo kauli mbiu ya IMOoooo ndo imeniacha hoi
 
kuna mwimbaji anaitwa kadja nitto namkubali sana, nashangaa hawampi promo, huyu dada anaimba nyimbo nzur sana
 
muheshimu maua hakuna msanii wa kike mwenye uwezo kama maua show zake ni classic yeye ni live band ndio msanii ninayenda show zake
Na iyo live band anaimba nyimbo zake 2 tu.
Nyingine zote copy.
 
Kama unakumbuka Rubby alishinda kinyang'anyiro cha Fiesta Super Diva 2014 iliyosimamiwa na Dj Fetty hivyo katika moja ya vipengele vya mkataba wake,kinawataka Clouds Media Group kumtembeza katika mikoa yote patakapofanyika tamasha la Fiesta. Hivyo yeye ataenda mikoa yote 15.

Na vyovyote vile naona ataperform. Labda patokee emergence.

Hizo nyimbo zake mbili na pia alizoshirikishwa ataziperform.
Hivi ni vigezo gani vimewafanya mmpe Ommy dimpoz show?
 
Daah wasanii wa bongo fleva sijui lini watazinduka na kujua thamani yao hizi ni dharau
 
Sijaelewa....yaani wasanii kama Navy Kenzo Fid Weusi and the like wanafanyiwa usahili?!

Hii imenishangaza kama ile habari ya Chidy Benz kwenda kutambulisha nyimbo redioni bila kujua hata chorus ya nyimbo yake(iliyofanywa na Raynavy)

Usahili?! As BSS n Tusker Project Fame?!!!

Endelea kutokuelewa,wapi pameandikwa wanafanyiwa usahili?
 
Back
Top Bottom