Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeelewa nini?Hiyo kauli mbiu ya IMOoooo ndo imeniacha hoi
Na wataongezeka x 1,000 ktk usawa huu wa mzee Magufuli.Kazi kweli kweli, ila nchi hii tuna wasanii wengi sana, waliotoka hawafiki hata asilimia 1
Wewe umeelewa nini?umeelewa nini?
Je wataamsha shangwe?Bill Nas Maua Sama nyimbo mbili wanashuka jukwaani"
ImooooooooooWewe umeelewa nini?
Umeelewa kama nilivyoelewaImoooooooooo
muheshimu maua hakuna msanii wa kike mwenye uwezo kama maua show zake ni classic yeye ni live band ndio msanii ninayenda show zakeBill Nas Maua Sama nyimbo mbili wanashuka jukwaani"
Wataamsha coz wanahit singleJe wataamsha shangwe?
Basi subiria hiyo fiesta imooooooWataamsha coz wanahit single
Manfongo hadi Israel wanamuelewa.Sidhani kama mikoa ya mwanza huko wanamuelewa kama Dar.. fiesta inaanzia Mwanza dar hitimisho
Na iyo live band anaimba nyimbo zake 2 tu.muheshimu maua hakuna msanii wa kike mwenye uwezo kama maua show zake ni classic yeye ni live band ndio msanii ninayenda show zake
humjui maua sama weweNa iyo live band anaimba nyimbo zake 2 tu.
Nyingine zote copy.
Hivi ni vigezo gani vimewafanya mmpe Ommy dimpoz show?Kama unakumbuka Rubby alishinda kinyang'anyiro cha Fiesta Super Diva 2014 iliyosimamiwa na Dj Fetty hivyo katika moja ya vipengele vya mkataba wake,kinawataka Clouds Media Group kumtembeza katika mikoa yote patakapofanyika tamasha la Fiesta. Hivyo yeye ataenda mikoa yote 15.
Na vyovyote vile naona ataperform. Labda patokee emergence.
Hizo nyimbo zake mbili na pia alizoshirikishwa ataziperform.
Sijaelewa....yaani wasanii kama Navy Kenzo Fid Weusi and the like wanafanyiwa usahili?!
Hii imenishangaza kama ile habari ya Chidy Benz kwenda kutambulisha nyimbo redioni bila kujua hata chorus ya nyimbo yake(iliyofanywa na Raynavy)
Usahili?! As BSS n Tusker Project Fame?!!!