Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Sasa hivi kuna wasaniii wanajipendekeza kwa kina B 12 wapate angalau show 3 za Mikoani
 
Ulisoma Vibaya mkuu. Mm ndiyie niliyeanzisha huu Uzi. Sijaandika Usahili mahali popote.
 
muheshimu maua hakuna msanii wa kike mwenye uwezo kama maua show zake ni classic yeye ni live band ndio msanii ninayenda show zake

Mkuu kweli unafata show au unaenda kumcheki Maua?
 
Wao wafanye usajili wa wasanii hata buku...
Sisi shida yetu ni tiketi na risiti za EFD
 
Hiv sasa zitapigwa nyimbo za wasanii waliosailiwa mpaka bas wale wasiopata hili dili wasubir mpaka fiesta iishe ndio watapata tena airtime mawingu fm
 
Hiv sasa zitapigwa nyimbo za wasanii waliosailiwa mpaka bas wale wasiopata hili dili wasubir mpaka fiesta iishe ndio watapata tena airtime mawingu fm

Kwa wakazi wa Dar na Pwani shida haitakuwa kubwa maana kuna mbadala EFM!
 
Tatizo ujielewi,ule ni usajili kama usajili wa wachezaji unavyofanywa huu ni mfano,ndio maana wamesema ni usajili
Fiesta ni timu ya mpira wa miguu?

Na ndio maana wanabebwa na costa kuzunguka mikoa yote kama timu au vipi?
 
Wao wafanye usajili wa wasanii hata buku...
Sisi shida yetu ni tiketi na risiti za EFD
Hilo ndilo la msingi. Tiketi zote zitolewe kwa mfumo wa EFD ili serikali ipate gawio lake kama sheria za kodi zinavyoelekeza.
 
Huu ni muda mwingine tutakaposikia kituo hiki cha redio kikimtangaza Ali K kama msanii mkubwa zaidi ya D!

Business Strategy.
 
Fiesta imepoteza mvuto Tigo ni wapigaji tu wapo ki biashara zaid ki ufupi ni mbinu mpya ya kutuacha maskini kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…