Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Sasa nimeelewa. Hiyo kwenye mpira wa miguu nimeshawahi kusikia

Ukifuatilia vizuri utakumbuka kuna kipindi Shigongo na Magazeti yake waliongoza harakati za Ali K ni bora zaidi ya Diamond, hii ilikuwa baada ya kushindwa kufika bei kwenye tamasha la Matumaini.

Baada ya kushindwana na D ndo kukubaliana kuwa atakuwepo Ali K, so ilibidi washabiki waaminishwe kwamba Ali K (King) ni bora kuliko D.

Clouds waliwahi hadi kutengeneza clip ya King is Back ambayo Joti alishiriki pia, wakatengeneza kundi la kumzomea D atakapopanda Jukwaani nk, hii yote ilikuwa ni kuwaonesha wale washabiki wasiofungamana na upande wowote kwamba Ali K ni bora zaidi, na hivyo waone sawa tu ikitokea D asiwepo akawepo Ali K.
 
Uongo
 
Nakumbuka sana. Ila kuna kitu hakipo sawa kwa vyombo vya habari hasa katika haya mambo ya kuwatangaza wasanii maana wanachojali wao ni pesa.

Wanapenda sana kutengeneza vitu ambavyo havipo. Ona kama shigongo baada ya kumkosa D akahamia kwa Kiba sababu anajua magazeti yake yatafanya kazi ya promotion.
 
Ckuzote Msema ukweli huchukiwa na kuonekana anafanya chuki,Hakuna cha burudan wala nn Mpo kwa ajr ya kutupiga tu
Hahaha muone utadhani umeshikiwa bunduki utoe hiyo hela yako. Ukienda ni mapenzi yako tu hahaha
 

Mkuu kwenye Industry ya Muziki hii kitu ni mpaka Majuu, kuko hivyo hivyo.
 
Acha upumbavu kijana yan niache kusaka do nkaangaike na ruge we unafkl kwakuwa tunachat hpa tunalingana kma huna kaz njoo nkupe kazi ya kufanya acha ujinga huo wa kupoteza mda na kutumia mikono yko kutengeneza hela za watu
Hahahaha Acha chuki
 
Hahaha siku moja JF ikiweka majina yetu halisi tutaumbuka wengi humu [emoji23][emoji23] JF naipendea hapa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…