Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Usajili wa wasanii Fiesta 2016

Biashara binafsi siyo haki yako kujua.
na ww kaa kimya kuuliza waliojibu ni wajinga au kwamba m3 au m4 mshahara wa rais unajua na mikataba ya kujenga barabara inajulikana sembuse ya show bora ungekaa kimya tu ,,
 
Shushu vipi tena hahaha hao wengine si viongozi wa umma? Hao haki yako hehehehe na ujenzi wa barabara ni kodi yako. Kwenye biashara binafsi siyo haki yako kabisaaa hahahaha
 
unajua diamond kwenye show moja analipwa kias gan ,,,kama unajua bei nam nilikuwa nauliza tu ili nijue ila kama haujui diamond bongo show analipwa m 10
 
Mbona hiyo fee ilikuww zamani. Hiyo bei ya Yamoto Band siku hizi.
 
uploadfromtaptalk1470914957456.jpeg

Msafara wa Imoooooo hawa clouds wana mbwembwe yan kama dar yao vile
Gari limembea b dozen anayewasainishi now wanaelekea TipTop nadhani pale dogo janja hakosi namba
Madee baaas sijui tutaelekea wao tukitoka hapo
 
View attachment 379634
Msafara wa Imoooooo hawa clouds wana mbwembwe yan kama dar yao vile
Gari limembea b dozen anayewasainishi now wanaelekea TipTop nadhani pale dogo janja hakosi namba
Madee baaas sijui tutaelekea wao tukitoka hapo
Tayari Mkuu,washasainishwa Madee,Dogo Janja na Tundaman.
 
Updates: 11-08-2016
Usajili unaendelea kama kawaida. Wasanii Leo watasainishwa mikataba katika Maskani ya TIP-TOP CONNECTION pale Magomeni.
Wasanii waliosajiliwa Leo na kusainishwa mikataba ni hawa wafuatao;
1. Raymond wa WCB.
2. Shilole aka "Shishi Baby"
3. Dogo Nigga
4. Dayna Nyange
5. Tip-Top Connection "Madee,Dogo Janja na Tundaman"
 
Back
Top Bottom