MBEYAILEMBO
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 136
- 58
EFD Imoooooooooo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuandalia jibu Mkuu. Naja kukujibu.
Mkuu hebu nijuze nia yake
na ww kaa kimya kuuliza waliojibu ni wajinga au kwamba m3 au m4 mshahara wa rais unajua na mikataba ya kujenga barabara inajulikana sembuse ya show bora ungekaa kimya tu ,,Biashara binafsi siyo haki yako kujua.
Hahahahaha. Siyo kwamba anaanisha hajafanya kazi yoyote nzito mwaka huu?
Shushu vipi tena hahaha hao wengine si viongozi wa umma? Hao haki yako hehehehe na ujenzi wa barabara ni kodi yako. Kwenye biashara binafsi siyo haki yako kabisaaa hahahahana ww kaa kimya kuuliza waliojibu ni wajinga au kwamba m3 au m4 mshahara wa rais unajua na mikataba ya kujenga barabara inajulikana sembuse ya show bora ungekaa kimya tu ,,
unajua diamond kwenye show moja analipwa kias gan ,,,kama unajua bei nam nilikuwa nauliza tu ili nijue ila kama haujui diamond bongo show analipwa m 10Shushu vipi tena hahaha hao wengine si viongozi wa umma? Hao haki yako hehehehe na ujenzi wa barabara ni kodi yako. Kwenye biashara binafsi siyo haki yako kabisaaa hahahaha
Mbona hiyo fee ilikuww zamani. Hiyo bei ya Yamoto Band siku hizi.unajua diamond kwenye show moja analipwa kias gan ,,,kama unajua bei nam nilikuwa nauliza tu ili nijue ila kama haujui diamond bongo show analipwa m 10
Hahahaa sawa mkuu kambi tizedieiHahahaha itakusaidia nini?
Allowance nyingine ni vibinti vya kike kwa wasanii wa kiume.show ya bure na allowance ya msosi na accommodation.
asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na mutahaba.
Tayari Mkuu,washasainishwa Madee,Dogo Janja na Tundaman.View attachment 379634
Msafara wa Imoooooo hawa clouds wana mbwembwe yan kama dar yao vile
Gari limembea b dozen anayewasainishi now wanaelekea TipTop nadhani pale dogo janja hakosi namba
Madee baaas sijui tutaelekea wao tukitoka hapo
Mbona gari ya kawaida tena number cView attachment 379634
Msafara wa Imoooooo hawa clouds wana mbwembwe yan kama dar yao vile
Gari limembea b dozen anayewasainishi now wanaelekea TipTop nadhani pale dogo janja hakosi namba
Madee baaas sijui tutaelekea wao tukitoka hapo
Gari yakawaida...ila walivyotanua barabara hapo hyo escort ni bure? C kama kufunga road inabidi ulipieMbona gari ya kawaida tena number c
Ametoa wimbo gani vile? [emoji12]kuna mwimbaji anaitwa kadja nitto namkubali sana, nashangaa hawampi promo, huyu dada anaimba nyimbo nzur sana