Usajili wa Yanga naona safari hii wamejaza washambuliaji wengi kuliko wakabaji

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia.

Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya?
 
Nimeuliza swali je kwasasa Yanga ina replacement ipi ya Aucho? Maana Mkude kaenda Singida na Mauya hakuwa na kiwango na pia sio sehemu ya kikosi tena. Au ndio tetegemee kuona Sure boy kama back up ya Aucho?
Yupo Aziz Andambwile kama back up ya Aucho..
Na pia leo ametambulishwa Duke Abuya ambae pia ana mudu kucheza kama kiungo mshambuliaji,mkabaji na winga zote mbili..
 
Nimeuliza swali je kwasasa Yanga ina replacement ipi ya Aucho? Maana Mkude kaenda Singida na Mauya hakuwa na kiwango na pia sio sehemu ya kikosi tena. Au ndio tetegemee kuona Sure boy kama back up ya Aucho?
Wamemsajili pia Azizi Andambwile kutoka Singida Fountain Gate kama sijakosea. Ni kiungo mkabaji huyo. Ila hoja yako ina mashiko. Angepatikana kiungo mkabaji mwingine mahiri wa Kimataifa kwa ajili ya kumchallenge Aucho.
 
Ni kweli lakini pia Aziz Andambwile akiaminiwa na kupewa nafasi ana uwezo mkubwa sana kua back up ya Aucho kijana yuko vizuri..
 
Wamemsajili pia Azizi Andambwile kutoka Singida Fountain Gate kama sijakosea. Ni kiungo mkabaji huyo. Ila hoja yako ina mashiko. Angepatikana kiungo mkabaji mwingine mahiri wa Kimataifa kwa ajili ya kumchallenge Aucho.
Wadau nimeona wanasema Abuya ni kiraka anaweza kucheza hiyo nafasi pia. Nadhani jambo kubwa ni kuomba Andambwile amudu hiyo nafasi kuliko kumtegemea Abuya kwasababu ukiangalia kikosi cha Yanga cha sasa kina idadi ndogo sana ya mawinga hivyo Abuya anahitajika zaidi kwenye eneo la winga.
 
Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia.

Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya?
Adambwile,Ko Aziz anacheza nafasi gani?
 
Nimeuliza swali je kwasasa Yanga ina replacement ipi ya Aucho? Maana Mkude kaenda Singida na Mauya hakuwa na kiwango na pia sio sehemu ya kikosi tena. Au ndio tetegemee kuona Sure boy kama back up ya Aucho?
Sinasikia kuna Azizi Andambwile!
 
Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia.

Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya?
Aucho,Mkude,Andambwile bila kisahau Mudathir na Max wanauwezo wa kukaba,kutengeneza nafasi na kushambulia.Bila kusahau Job nae mechi ya Medeama nail Ahly alicheza kiungo mkabaji vizuri tu.

Haya nitajie viungo wakabaji wa 5imba kwa sasa.
 
Back
Top Bottom