joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Timu zote zimesajili sio ww peke yako, vp quality yao ushawahi kuiona au umesimuliwa tu na ukaamini au umesahau Aboubakar Sarr...... aliye miaba Cr7 (Kwa mujibu wa msemaji wenu) leo yupo wapi?Wewe jitoe ufahamu tu.Simba sc imefanya usajili wa kisayansi msimu huu.
Kiungo Cha ukabaji kuna wanaume wawili wa maana,Agustine Okejepha na Yusuph Kaghoma..Debora atakua juu yao kama Double pivot ila hata chini anaweza kucheza...Msimu uanze tupunguze maneno
Mimi nimemuona Aucho,Muda,Max na Mkude wakicheza tena ktk michuano mikubwa ktk kiwango cha juu,vp wa kwako?
Msalimie Jobe.