Usajili wa Yanga naona safari hii wamejaza washambuliaji wengi kuliko wakabaji

Timu zote zimesajili sio ww peke yako, vp quality yao ushawahi kuiona au umesimuliwa tu na ukaamini au umesahau Aboubakar Sarr...... aliye miaba Cr7 (Kwa mujibu wa msemaji wenu) leo yupo wapi?

Mimi nimemuona Aucho,Muda,Max na Mkude wakicheza tena ktk michuano mikubwa ktk kiwango cha juu,vp wa kwako?

Msalimie Jobe.
 
Niamini mimi,Simba sc hawajakurupuka kwenye usajili awamu hii.Mimi nipo jikoni kabisa ,ko naomba uniamini bwana mkubwa.
 
Niamini mimi,Simba sc hawajakurupuka kwenye usajili awamu hii.Mimi nipo jikoni kabisa ,ko naomba uniamini bwana mkubwa.
Mimi mwenye wachezaji walio sajili na Yanga ambao sijawaona,siwezi kuwasifia mpaka ni waone atleast wakicheza mechi tano hasa za mashindano,ndipo nitakomenti.

Dube nimemuona ila anatatizo moja la majeruhi kuhusu akili na uwezo wa kufunga sina wasi nae,Chama kweli mzuri ila sikutaka aje Yanga,kwani sizani kama ile Morali ya kupigana kama anayo pili umri. Hao wengine wapya mpaka ni waone.Sajili za bongo nazifahamu vizuri sana,kelele nyingi ila uwanjani hamna kitu.
 
Azizi Andambwile, Sure Boy, Mkude hao wote ni namba sita. Au unazungumzia mchezaji wa kigeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…