Usajili wa Yanga nina mashaka nao; Hauna kuwapima afya wachezaji

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Duniani kote mchezaji wa mpira kabla ya kusajili hufanyiwa uchunguzi wa kiafya na madaktari maalumu wa michezo.Hivi karibuni Klabu ya Yanga imekuwa inafanya Usajili kwa kasi kubwa kama vile Wachezaji wazuri wanakwisha.Pili Tumekuwa tunasikia mchezaji hatari kwa chenga amesajiliwa lakini hatusikii kuwa Mchezaji fulani amefanyiwa vipimo vya afya kisha baada ya vipimo kuwa sawa kasajiliwa.Natoa taadhari sana kwa Uongozi wa Yanga kushughulikia Vipimo kwanza kabla ya kumsajili hao wachezaji wamekwisha tumika sana kabla ya kuja Yanga.
 
Alowaita hawa jamaa mbumbumbu haKukosea. This is too stupidity. kwann mnateseka guys. Those days mlisema hatuna hela, just a few days mkatoa bokko eti hawanahela ya kuwalipa, leo mnakuja na hoja ya kitoto kabisa kwenye soka la bongo.

by the way tuwadokezeeni tu, kambi ya wananchi itakua nchi stable duniani. Kule kwa hu ho shu...... Andaeni propaganda nyingine. Ila tumesajili jamaa wakuuupiga mwingi tupu. Its only Dar young africa managed to take proffesional player who played UEFA. Get ready na mababu mnaowaandikisha hao.
 
Simba ni timu bora sana na itazidi kuwa bora hatuna vision za kuendelea kuwa wapinzani wa TASAF FC A.K.A mbute fc a.k.a ndala fc a.k.a bakuli fc a.k.a Vyura fc.

Vision yetu ni kubeba kombe la Afrika.
Tunasajili wachezaji wazoefu hatusajili ili tukuze wachezaji.
Na nadhani huijui Simba sports vizuri tuna Simba B ambako tunapika wachezaji wa karne.

Kipindi kuna mashindano ya U20 AFCON hapa Bongo ni Simba B pekee iliyopata nafasi ya kucheza na Cameroon huko kwenye U20 nako tuna dominate vibaya sana.
Kwenye kina mama hatupimiki msimu ujao kikombe chetu.

Simba B imetuzalishia wachezaji kibao ikiwemo Ibrahim ajib ambaye ndio tumaini lenu.
Wachezaji wenye umri mdogo Simba wakitanzania walioko kwenye Senior team tuna Rashid juma, HD, na wengine wengi ambao tutawaacha kama Adam salamba
 
Umecheki afya yako?
 
This guy seems ameanza kuifatilia simba baada ya ujio wa okwi. He has nothing to talk about football. Go invites your fellows ambao atleast the know something about our football maana nitapoteza muda tu hapa.
 
Goddamn! Mimi nimeanza kuifatilia Simba mwaka 98 WTF are you talking? I know the whole cunts and good things of Simba.

Na cha kukushangaza I'm not just a shabiki ni mwanachama hai wa Simba sports club
 
hawa simba ni mbwa kabisa... tusiposajili hatuna pesa... tukisajili ooh hampimi afya, mara mnawazoa zoa kwani nyie Culibaly, Kwassi, Dida, Kapombe, Kaheza, Nduda sijui, mlinunua au mlizoa zoa? Shenzi kabisa!
Una uhakika mleta thread hii ni SHABIKI/MNAZI/MWANACHAMA wa Simba?
 
Alowaita hawa jamaa mbumbumbu haKukosea. This is too stupidity. kwann mnateseka guys. Those days mlisema hatuna hela, just a few days mkatoa bokko eti hawanahela ya kuwalipa, leo mnakuja na hoja ya kitoto kabisa kwenye soka la bongo.

by the way tuwadokezeeni tu, kambi ya wananchi itakua nchi stable duniani. Kule kwa hu ho shu...... Andaeni propaganda nyingine. Ila tumesajili jamaa wakuuupiga mwingi tupu. Its only Dar young africa managed to take proffesional player who played UEFA. Get ready na mababu mnaowaandikisha hao.
Kwani hela mnazo???mbona bado mnachangisha...yanga bwana mnajua kujifariji...yani nyie ni ombaomba jeuri...ombaomba anazunguka na bakuli kuchangisha mia tano mia tano bado anajisifia kuwa anahela..only in Tz
 
hawa simba ni mbwa kabisa... tusiposajili hatuna pesa... tukisajili ooh hampimi afya, mara mnawazoa zoa kwani nyie Culibaly, Kwassi, Dida, Kapombe, Kaheza, Nduda sijui, mlinunua au mlizoa zoa? Shenzi kabisa!
Hao hao wakina coulibaly ndo wamebeba ubingwa wamewaacha wazee wa kulia lia kila siku mnaonewa mnashangaa shangaa...nyie toeni tu ile number yenu mnayochangishia michango tuwatumie miatano miatano zetu muendeshe timu
 
Jibu unalo kumbe shekhe ....umesema duniani kote kwani sis tuko duniani?
Duniani kote mchezaji wa mpira kabla ya kusajili hufanyiwa uchunguzi wa kiafya na madaktari maalumu wa michezo.Hivi karibuni Klabu ya Yanga imekuwa inafanya Usajili kwa kasi kubwa kama vile Wachezaji wazuri wanakwisha.Pili Tumekuwa tunasikia mchezaji hatari kwa chenga amesajiliwa lakini hatusikii kuwa Mchezaji fulani amefanyiwa vipimo vya afya kisha baada ya vipimo kuwa sawa kasajiliwa.Natoa taadhari sana kwa Uongozi wa Yanga kushughulikia Vipimo kwanza kabla ya kumsajili hao wachezaji wamekwisha tumika sana kabla ya kuja Yanga.
 
hawa simba ni mbwa kabisa... tusiposajili hatuna pesa... tukisajili ooh hampimi afya, mara mnawazoa zoa kwani nyie Culibaly, Kwassi, Dida, Kapombe, Kaheza, Nduda sijui, mlinunua au mlizoa zoa? Shenzi kabisa!
Hapa ushabiki hakuna kwa maneno haya.
 
Kwani hela mnazo???mbona bado mnachangisha...yanga bwana mnajua kujifariji...yani nyie ni ombaomba jeuri...ombaomba anazunguka na bakuli kuchangisha mia tano mia tano bado anajisifia kuwa anahela..only in Tz
Mtani inaonekana uko mtupu kabisa kwenye mpira wa bongo.
 
Goddamn! Mimi nimeanza kuifatilia Simba mwaka 98 WTF are you talking? I know the whole cunts and good things of Simba.

Na cha kukushangaza I'm not just a shabiki ni mwanachama hai wa Simba sports club
Kwahio wewe na wenzako ndo mlifanya uharibifu wa mali za umma pale kwa mkapa baada ya tambwe (international profesional player) alipomuenzi maradona😁😁😁
 
Back
Top Bottom