Usalama kwa Dkt. Bashiru: Lolote likimtokea tumewajua wabaya wake

ningekuona wa maana kama ungetwambia nani walimlisha sumu mzee MANGULA?
Nani waliongoza genge la kihuni la kununua wabunge kwa kivuli cha kuunga mkono juhudi za chizi?
yupo wapi ben sanane?
nani walimpiga risasi tundu lisu
KALIFUFUENI LITUJIBU KWANZA HAYA MASWALI
 
Hata usichukulie serious Sana hao wanaomnanga BASHIRU leo ndio haohao kesho watamsifia pale mambo yakigeuka Kama ya tarehe 21 Machi 2O21 maisha n Kama marathon TU anayemaliza wakawanza hupongezwa haijalishi alianzaje
Kimsingi kuwaamini wasemacho ni kuichosha akili yako
 
Huyu tuhuma zake ndizo zitaanza kuwekwa mezani kwani hatadhuriwa kwa lipi haswa mbona sioni utisho wowote alionao Bashiru.
Waliondolewa Makatibu wote Nchi nzima ambao aliwaweka yy pasipo nadhara itakuwa yy.
Sioni utisho wake wowote
 
Hata usichukulie serious Sana hao wanaomnanga BASHIRU leo ndio haohao kesho watamsifia pale mambo yakigeuka Kama ya tarehe 21 Machi 2O21 maisha n Kama marathon TU anayemaliza wakawanza hupongezwa haijalishi alianzaje
Hili ndo tunapaswa lizingatia
 
Ameeen.

Kundi dogo lisilozidi watu 100,000, kamwe halitaruhusiwa kukandamiza wananchi zaidi ya ml 60.
 
Utawafanya Nini wakiamua kufanya Yao?
 
CCM ina maajabu na Vioja vyake!

Huyohuyo Kinana aliwahi kuwaita wenzie mizigo ndani ya CCM na Serikali yake.
Lakini hakuguswa!

Kinana aliwahi kuwaita wenzie Magamba,ingawa Magufuli ndie alikuja kuyaondoa hayo Magamba!
Aliwaita akiwa kiongozi
 
Hata usalama wa lissu mpaka ku pyupyu wabaya wake walijulikana, reference hayo uliyoorodhesha same kwa lissu issue ilikua open kbs!!
 
Wana CCM hawa jamani!
Usije ukathubutu kuwaamini hawa watu, sio wakweli kabisa na uongo bin unafiki bin uchawa bin ukatili bin udhulumati ni jadi yao!
 
Kama kodi hazitoshi Serikali yenyewe kupitia TBC inaingiza pesa za kamari ..jana nimeshangaa eti TBC nao wanasema weka elfu moja ujichotee mihela.
 
Kama kodi hazitoshi Serikali yenyewe kupitia TBC inaingiza pesa za kamari ..jana nimeshangaa eti TBC nao wanasema weka elfu moja ujichotee mihela.
Pesa zikiwa nyingi na peace of mind hutoweka. !!
 
Kwako wewe unaona jambo dogo sababu ya uelewa wako ulipofikia au unachopenda kusikia!

Yangekuwa madogo,timu ya Taifa ya Iran isingeugomea wimbo wao wa Taifa!
 
sisi CCM wala hatuna shida na yeye, anahangaika na kivuli chake !! kama ikifikia muda tunamuhitaji basi tutavuta kamba yetu then atasogea. Chama hiki ni kikubwa, unapopewa madaraka makubwa ndani ya chama na ukastaafu basi ishi kama wastaafu wengine kwa heshima.

Na kama una hamu ya kubwabwaja basi katafute vichama uchara huko vipo vingi tu, ila CCM ina maadili na miiko yake ambayo mtu mmoja hawezi kucheza nayo kabisa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…